Hongereni Wakurya kwa hili

Hongereni Wakurya kwa hili

Alafu mtoa mada wewe ni mkurya alafu unajifanya kama sio mkurya, unasifia sifia kwa kujifanya wewe sio mmoja wao wakati ndie....!

Kuwa straight wakurya tumeanza kupoteza sifa yetu ya kuwa straight....! Naona kona kona nyingi
 
Heheh kuna kisa kimoja mama aliondoka kwa mume wake aliyemtolea mahari kwao, akaenda kuolewa na Bwana 'fulani'. Huko akazaa watoto wanne wa kiume mmoja na mabinti watatu. Muda ukapita mabinti walivyofika umri wa kuolewa mama akarudi kule kwa Bwana aliyemtolea mahari na watoto wake alozaa kwa yule bwana 'fulani' na yule mume aliyetoa mahari akawapokea kwa shangwe. Mila za ajabu hizi kabisa bado kuna zile Nyumba 'Ntobhu' na 'Mboke' khaaa.
 
hakuna watu wanao jali na kuthamini watoto kama wakurya.
 
Alafu mtoa mada wewe ni mkurya alafu unajifanya kama sio mkurya, unasifia sifia kwa kujifanya wewe sio mmoja wao wakati ndie....!

Kuwa straight wakurya tumeanza kupoteza sifa yetu ya kuwa straight....! Naona kona kona nyingi
 
Kumekuwepo na dhana dhidi ya jamii ya wakurya kuwa ni wakatili lakini nawapongeza wakurya kwa hili

Wakurya ni kabila ambalo watu wake hawawezi kuulizana DNA ya watoto tofauti na makabila mengine

Mwanaume wa kikurya hana muda wa kuchunguza mtoto kazaliwa na nani au ana fanana na nani,yeye huamini kitanda hakizai haramu

Mwanaume wa kikurya anaweza kuoa mwanamke aliye na watoto zaidi ya wanne na akawatunza kama wanae na akawabadilisha majina wakaitwa majina ya ukoo wake,na ukoo ukawatambua hao watoto kama ndugu zao,na watoto waliokuja na mama watapewa urdhi,kuhudumiwa kama vile matibabu,elimu, na kuozwa au kuoa kwa gharama za mwanaume bila ubaguzi wowote

Ndio maana ni nadra sana kukuta watoto wa kikurya ni mahouse girl, au watoto wa mitaani, wakurya wanadhamini watu wao sana.

Wakurya huwa wanadhamini sana watoto,awe amemzaa,au hajamzaa,ila anahesabika ni mtoto wake

Ndio maana siku hizi wanawake wa makabila mengine wanatamani waolewe na wakurya,maana wamechoka watoto wao kuchunguzwa mara kwa mara wazaliwapo na wanaume waliozaa nao

Nimeshuhudia wanawake wawili wenye asili ya mkoa wa Tabora,wakitafuta waolewe na mwanaume wa kikurya kisa hawana complication kwenye ndoa zao

Kama wewe ni mwanamke una mtoto unasita kuolewa kisa mwanao ataenda kunyanyasika,tafuta mkurya,mwanao ataishi vizuri sana,na atahudumiwa kama watoto wengine
HAKUNA MWANAUME MPUMBAVU ANAYEFURAHIA KITENDO CHA KUBAMBIKIWA MTOTO AMBAYE SIO WAKE, HAO WAKURYA UNAOWAZUNGUMZIA WATAKUWA WA KULE KITUNDA ILA SIO NINAOWAFAHAMU MIMI WA KULE BUNDA, MUSOMA NA SIRARI. MATATIZO YA WADADA WENGI NI KUFANYA UPUMBAVU NA KISHA KUHAMIA KWENYE UPUUZI ZAIDI, UNASALITI NDOA AU MAHUSIANO UNAONA HAITOSHA UNAMBEBEA MIMBA UYO BWANA WAKO KULETA NDANI YA NYUMBA, HII NI DHARAU YA KIWANGO CHA JUU KABISA, KIKUBWA ENDEELENI KUFANYA SIRI TU MAANA TEKNOLOJIA INAVYOKUWA ITAKUJA KUUMBUA MENGI, KAMA UMEAMUA KULIWA WE LIWA TU ILA ALIE MWANAUME RIJALI HAWEZI TETEA UPUUZI HUU
 
Kaa kimya huwafahamu wakurya, akishamlipia mwanamke mahari wale watoto wote Ni Mali yake, Sasa wewe let's ngenga unidai hao Ni wanangu mapanga yatakuhusu na Hawa Ni wale wakurya original wa tarime huko , labda hao wa kitunda ndo watakataa watoto
 
Labda kama kuna wakurya tofautitofauti. Niliwahi kuwa nao kwenye shamba langu hao jamaa.

Wanaume wao wako kimya sana hawaongeiongei. Huwez kuamin wanayofanya.

siku moja nikapigiwa simu yule mume kamchanachana mapanga mkewe yupo hoi hospitali huko. Nikaambiwa mume alimshuku mkewe anamchanganyia mbegu.
 
Nimekaa na wakurya miaka 12, nilichojifunza ni ujasiri wa hawa jamaa ikiwa ni pamoja na kuanzisha familia wakati vijana wenzao rika moja bado wanambwela mbwela mtaani, wanazalisha au kukimbia mimba tu.
 
Kumekuwepo na dhana dhidi ya jamii ya wakurya kuwa ni wakatili lakini nawapongeza wakurya kwa hili

Wakurya ni kabila ambalo watu wake hawawezi kuulizana DNA ya watoto tofauti na makabila mengine

Mwanaume wa kikurya hana muda wa kuchunguza mtoto kazaliwa na nani au ana fanana na nani,yeye huamini kitanda hakizai haramu

Mwanaume wa kikurya anaweza kuoa mwanamke aliye na watoto zaidi ya wanne na akawatunza kama wanae na akawabadilisha majina wakaitwa majina ya ukoo wake,na ukoo ukawatambua hao watoto kama ndugu zao,na watoto waliokuja na mama watapewa urdhi,kuhudumiwa kama vile matibabu,elimu, na kuozwa au kuoa kwa gharama za mwanaume bila ubaguzi wowote

Ndio maana ni nadra sana kukuta watoto wa kikurya ni mahouse girl, au watoto wa mitaani, wakurya wanadhamini watu wao sana.

Wakurya huwa wanadhamini sana watoto,awe amemzaa,au hajamzaa,ila anahesabika ni mtoto wake

Ndio maana siku hizi wanawake wa makabila mengine wanatamani waolewe na wakurya,maana wamechoka watoto wao kuchunguzwa mara kwa mara wazaliwapo na wanaume waliozaa nao

Nimeshuhudia wanawake wawili wenye asili ya mkoa wa Tabora,wakitafuta waolewe na mwanaume wa kikurya kisa hawana complication kwenye ndoa zao

Kama wewe ni mwanamke una mtoto unasita kuolewa kisa mwanao ataenda kunyanyasika,tafuta mkurya,mwanao ataishi vizuri sana,na atahudumiwa kama watoto wengine
Daaah! Mkuu umenikumbusha nilvyonusurika kuozwa mwanamke aliyekuwa na watoto watatu. Alikuja kijiji kwetu, babu yangu akamkubali, nikiwa na umri wa miaka 17. Babu akaikalisha chini akanishawishi nimuoe huyo Mmama. Uzuri alinipa option. Akaniuliza nichague kuoa au kwenda kusoma. nikachagua kwenda kusoma
Ukuryani ukioa mwanamke ana watoto hata kumi wote wanakuwa wa kwako na unawapa majina ya ukoo wako. Period.
 
Kaa kimya huwafahamu wakurya, akishamlipia mwanamke mahari wale watoto wote Ni Mali yake, Sasa wewe let's ngenga unidai hao Ni wanangu mapanga yatakuhusu na Hawa Ni wale wakurya original wa tarime huko , labda hao wa kitunda ndo watakataa watoto
inaonekana unapenda watoto wa kubabimbikiwa, nadhani wewe ndio ukae kimya kusemea mioyo usiyoijua kwa kivuli cha kabila, hakuna upumbavu huo kwa mtu aliekuwa magnetic in positive way labda NGASOMA TU
 
Basi watakuwa poyoyo kama watakuwa wanauziwa mbuzi kweny gunia
 
Back
Top Bottom