Naomba kufahamishwa juu ya likizo ya bila mshahara kwa watumishi wa Serikali.

adam junior93

JF-Expert Member
Mar 14, 2015
205
252
Wakuu ni matumaini yangu mko poa...
Kama heading inavyojieleza,naomba kufahamishwa namna ya kupata likizo ya bila mshahara kwa watumishi wa serikali kada ya Elimu,nimepata scolarship ya kwenda kusoma lakini nimebaniwa nafasi ya kwenda masomoni,
Hivyo nataka niachane na mshahara kwa muda nkapate elimu.
Naomba kujuzwa ni procesa gani za kufuata.
Karubuni wajuvi.
 
Nakuomba usijiloge kwenda kusoma bila ruhusa aise utafungiwa mshahara wako na ukipata ruhusa kwa kusimamishiwa mshahara wako ishu kurudi kwenye system ndo shida hasa awamu hii
 
Dadavua kidogo mheshimiwa yani kuna ugumu gani hasa kurudishwa kwenye system nakati wamekuajiri wenyewe?
 
Mkuu ninachokitaka mimi,ni kupewa likizo bila kuwa nalipwa mshahara kwa muda wote ambao sitakuwepo kazini,ni hatua zipi nizifuate?
Nakuomba usijiloge kwenda kusoma bila ruhusa aise utafungiwa mshahara wako na ukipata ruhusa kwa kusimamishiwa mshahara wako ishu kurudi kwenye system ndo shida hasa awamu hii
 
Wakuu ni matumaini yangu mko poa...
Kama heading inavyojieleza,naomba kufahamishwa namna ya kupata likizo ya bila mshahara kwa watumishi wa serikali kada ya Elimu,nimepata scolarship ya kwenda kusoma lakini nimebaniwa nafasi ya kwenda masomoni,
Hivyo nataka niachane na mshahara kwa muda nkapate elimu.
Naomba kujuzwa ni procesa gani za kufuata.
Karubuni wajuvi.
Omba Leave of Absence from work = Protect your job
Reason - Masomoni
Kisheria unaruhusiwa
Check na Ministry of Labour
 
Back
Top Bottom