mimi pia ninafanya iyo biashara.sijaisajili bado kwa sababu ninabiashara nyingine naifanya inanikeep bize sana.sijapata muda hasa.
-utaratibu wangu unaacha dhamana kiwanja,hati ya kiwanja au nyumba,kadi ya gari na gari lenyewe,laptop,smart phone kwa kampuni za apple samsung sony htc,au hisa...
mvua hazinyeshi kwa sababu ya nuksi zako.
-Tafta ela ww n b u can b.kama wamezidi muwahudumie.
-hayo tunayoyajua je tunaoropoka humu yetu yanajulikana?
-tafta ela n live to the finest mengine mwachie baba na....
kuna nchi iliyowah kupinga usenge ikapiga hatua? lazma iwe imekamilika
-gambia...
mambo vp mkuu: nimefanya registration myus.com nataka kujua ni ipi street address,city,postal/zipcode. naona zkama nachanganya vile: 4283 Express Lane
Suite 740-877
sarasota,FL 34249
Telephone:(941)538-6941
wanachoitaji watu wa tadb ni uweze kulipa asilimia 20 ya mkopo unaoomba wao watakupatia asilimia 80. pia ukitaka unufaike nao zaidi lima mpunga rukwa au mbeya.tafuta ekari 50 hadi 100 na tafuta reliable buyers muingie mkataba.
Nauza kiwanja changu milioni 17 KWA MKUPUO/AWAMU 1;MILIONI 19 KWA MALIPO YA AWAMU.Malipo ya awamu napokea tunaandikishana kwa mwanasheria nakupa kopi ya hati,orijino nakupa ukimaliza deni. -Kiwanja kipo dodoma ILAZO NORTH SQ.MITA 925 UPANA NA UREFU NI M32 KWA M58. KM 1 KUTOTA BUNGENI...
Chakufanya nikuwa na ac.pekee kwa ajili ya online purchase.either barclays or crdb.Mfano mimi nina akaunti binafsi ta hundi crdb na ninayo ya savings kwa ajili ya electronic&online purchases.
Ninashkuru mkuu ila tatizo la exim ni matawi lakini pia nina jamaa yangu alikuwa na akaunti exim akanambia kwenye usd na online purchases exim ni vampires.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.