Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,888
- 16,119
Heshima kwenu.
Rejea kichwa cha Habari chausika
Rejea kichwa cha Habari chausika
Kwanini? UsinijibuZote ziko vizuri ila nawapenda NMB zaidi ukiniuliza kwa nini sikujibu.
SikujibuKwanini? Usinijibu
Uzi umeusoma na kuuelewa kwa kiswahili ila kwa kuwa lengo lako ni kutufahamisha kuwa umesoma hadi chuo kwa mikopo ya elimu basi tumekuelewa.Hapa naliona tatizo, your are turning JF into an authority instead of opinion platform. The banks themselves have loan policies from which comparison should be made, coming here seeking advice will induce people create their own polices to fill the vacuum. Be informed!
Ekari 10 tu unaweza pata hadi $ 200,000? Fafanua zaidiUnaekari ngapi mkuu?Kama ni 10 wasiliana na TANZANIA INVESTMENT BANK hadi dola 200,000 wanakupa.
-Kama ni kati ya crdb na nmb kopa crdb wanahuduma nzuri za mkopo na capital kubwa.
-Nmb pia ila 1st choice ni tib na crdb.
Anza kwanza kulima kidogo kidogo update uzoefu chamgamoto.Mkopo utakuja liaHeshima kwenu.
Mimi ni mwajiliwa wa serikali na mwezi huu natimiza mwaka mmoja.
Niko kijijini na kuna fursa kubwa ya kilimo cha mpunga na tikiti maji so nimeamua kulima kilimo cha kisasa.
Nataka nikope walau m13 kutoka benki za NMB au CRDB kwani ndo zipo maeneo ya karibu.
Hivyo basi wadau, naomba ushauri wapi pa kukopa kwa riba nafuu bila ya usumbufu wa kuombwa rushwa.
Natanguliza shukrani.
NB: Mshahara wangu ni D kwa viwango vya serikali.
wanachoitaji watu wa tadb ni uweze kulipa asilimia 20 ya mkopo unaoomba wao watakupatia asilimia 80. pia ukitaka unufaike nao zaidi lima mpunga rukwa au mbeya.tafuta ekari 50 hadi 100 na tafuta reliable buyers muingie mkataba.Ekari 10 tu unaweza pata hadi $ 200,000? Fafanua zaidi