Recent content by Wkingz

  1. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    hahahhah mwanangu unayumba izoo interview zinatumika lakin mara nyingi oral za private sector wakishajilizisha unafaa content unayo kichwani ndo wanatumia subjective qn sasa how you handle pressure ili swali lime base na opinions kila mtu atajibu kulingana na opinion yake na wote wanaweza...
  2. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    anyway inawezekana lakini ni ajabu sana, huwa inafundishwa ili kumuandaa mwanafunzi na kazi za zitazohitaji computer darasan kama kuandaa assignment, research na nyinginezo nyingi.
  3. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yaan introduction to computer hawasomi, coz hii course navo jua mm haijalish unasoma facat gani lazima ukutane nayo kama civics secondary
  4. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Content ya uzii imebadilika sana.
  5. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    INTERVIEW ZA PSRS wawo wameamua 85% ya maswali yao yawe objective ili ku grade raia maswali ya objective huwa yana majibu specific na hiii inatengeneza haki kuwapa watu ajira tofauti na maswali ya subjective ambayo PSRS mara nyingi hawayatumii sababu ni kuwa swali la subjective linaweza kuwa na...
  6. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Salama mkuuu vp uzi unaendeleaje,
  7. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kimsingi wote mnatakiwa kujua kuwa hakuna chuo kinachotoa degree Tanzania kilicho sajiliwa na TCU ambacho mtu atamaliza degree hajasoma miccrosoft word,excel nk..... kifupi introduction to computer au ICT. Kingine mtu ajui kutumia email inawezekana vip coz inawezekanaje u apply chuo kama huna...
  8. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hahahahha yani mpka leo bado mpo na hii mada ya interview inatakiwa iwaje.
  9. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    ime fanyiwa editing sanaa so ila ya mwisho for editing tuka i name final, msiogope zinaendelea kuja.
  10. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Trend ya shuhuda imeshuka sana zaman pdf ya watu 40 tunapata shuhuda nne na kuendelea makadirio, ila izi pdf za halmashauri zinabeba watu wengi halafu tukiziunganisha zote na idadi ya shuhuda, yaani wachache sana wameleta shuhuda. Pdf ina watu 200 hata mmoja kweli hayupo.
  11. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna pdf la taasisi za mashirika linakuja utaona shuhuda zitavo kuwa nyingi Utasikia"" nimevumilia lakini nimeshindwa ntakuwa sitendi haki kwenye hii pdf na mm nimepata TPDC""" ila halmashauri wanavumilia, Jaman leteni shuhuda haijalishi umepangiwa wapi upo sehemu sahihi niamini mm...
  12. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wimbi la 1700 database niliona lilivo vurugaa akili za jobless humu ndani, bado miezi mitatu mwaka wa fedha uishe jobless akijiandaa tena kisaikologia na zisitoke asee siopoa, afya ya akili ni muhimu sana ni bora watu washtukie wametoa.
  13. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Database ipo kitambo sana hata pdf za miaka ya nyuma zilikua na data base, uwo mwaka mmoja ata kabla ya chawene ulishaongezwa, Vijana wanateseka mtaani, kwakuwa vijana wana vyeti vinavyo onesha wana ubora kutoka kwenye vyuo vyao, na wamefanya written wamefaulu wamefika adi oral, na dhani...
  14. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Achana na io kauli mkuu, kauli ya database ya February inatosha usijiongezee ahadi nyingine.
  15. Wkingz

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    na ikawe ivo.
Back
Top Bottom