Kwanza, nikupe pongezi kwa kuwa na standards ambazo umejiwekea na unaishi kwa kuziheshimu hizo. Pili, nkuhakikishie kuwa mafanikio ni tafsiri pana ambayo unaweza kuielewa kwa ukweli wake kama utaitafsiri kwa kujitizama wewe wa sasa na wewe wa siku za nyuma na sio wewe ulivyo na wengine walivyo...
Hopeful mamlaka zenye dhamana zitachukua ushauri wako kama hawajaufanyia kazi bado au kuanza sasa kutoa majawabu ya uchunguz ambao wamekuwa wakifanya kuhusu masuala haya.
Hii ni hoja fikirishi. Au ndo kusema unaporudi nyuma unakuwa kama una rewind matukio pia , hivyo yanakuwa kama yanaanza upya hivi. Najaribu kuwaza tu. Ngoja ufafanuzi utolewe.
Aidha umesahau au unajisahaulisha kuwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la SADC. Hivyo ana sauti kubwa na ya kutosha sana kwenye suala hili.
Hili la Wanawake kuwa wengi kuliko Wanaume halipo tu nchi hiyo ulioitaja. Ni duniani kote ila tunatofautiana idadi ya kupishana. Tanzania yenyewe ina idadi kubwa zaidi ya Wanawake kuliko Wanaume.
Simba kwa namna inavyocheza sasa kwa hakika si tu inakatisha tamaa bali inawafanya hata mashabiki wapoteze interest na timu yao pindi panakuwepo gemu la simba na timu pinzani. Unaweza liona hili hata mtaani tu kwenye vibanda umiza anapocheza Yanga vibanda vinajaa kweli (mashabiki wa Yanga na wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.