Sina visa ya canada kuna fursa za masomo nataka nikaulizie.
Ninachotaka ni utaratibu wa kufika embassy kwenda kuonana na advisor wao ili niulizie baadhi ya mambo.
Wakuu ninataka niende canada embassy kuulizia fursa mbalimbali za elimu.
Mnaweza kunielekeza jinsi ya kuweka appointment?
Au ninaenda tu directly nitajielezea getini?
Nimepiga namba ya simu ya ubalozi wanasema niweke mailbox number na mimi sina.
Mkuu nimejaribu kufanya kila kitu nimeshindwa lakini naomba unisaidie link ninayoweza kudownload google na gmail apk file nijaribu na huko kama itawezekana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.