Recent content by winluck

  1. winluck

    JamiiForums Tanzania Wazalishaji ama wasindikaji wa Nafaka na mimea ya mikunde

    Naomba website ya ITC
  2. winluck

    JamiiForums Tanzania Baada ya zee lake kutumbuliwa jipu karudi kwangu kwa magoti

    Inaonekana bado una mpenda basi msamehe na ukubali kubeba yote yatakayotokea
  3. winluck

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa ya soko la Hoho

    Hizo hoho ni green, red au yellow?
  4. winluck

    JamiiForums Tanzania Nimepokonywa simu yangu na polisi

    Nenda kwa mkuu wa kituo umwelezee hiyo issue utarudishiwa
  5. winluck

    JamiiForums Tanzania Ajali ya kutisha maeneo ya Jeti jijini Dar es Salaam

    R.I.P
  6. winluck

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

    Hiyo hali unayoisikia sio wewe ni pepo na msaada upo kwa Yesu pekee dada yangu ..tafuta mchungaji au mtu aliyeokoka kwa dhati akemee hilo pepo na utapona. .Pole sana na amini tu utakuwa powa after maombi
  7. winluck

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze kutumbua majipu kwa mke wangu

    Kaka hilo sio jipu...na wala husimuulize unachotakiwa ni kumpenda zaidi na utashangaa mambo yanarudi kama mwanzo na kuzidi
  8. winluck

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanavuta bangi sikuhizi?

    Hii issue uanza pale unapotumia sana shisha mwisho unajikuta umeshavuta na ndumu. .. Mungu awasaidie
  9. winluck

    JamiiForums Tanzania Nauza Dell laptop HDD 500gb, ram 4gb core i5

    Picha na contact please
  10. winluck

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa bei sawa na bure

    Kama unazo nyingi na mpya au used kidogo tuwasiliane nahitaji kama 10pcs
Back
Top Bottom