Ajali ya kutisha maeneo ya Jeti jijini Dar es Salaam

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,388
24,949
Ajali mbaya imetokea hivi punde maeneo ya jeti,dereva wa boda boda kanasa kwenye chasses ya fiati, juhudi za kuutoa mwili huo zinaendelea...

View attachment 316936

uploadfromtaptalk1452803517712.jpg


uploadfromtaptalk1452803530788.jpg


uploadfromtaptalk1452803544343.jpg
 
Utu umetoweka bodaboda ni binadamu kama nyie unavyosema hawajihurumii unafikiri watakula wap au Kwa Kuwa huwa hamtumii hiki chombo cha usafiri
 
Hivi tatizo ni Mchina au ni Vijana wetu wa bodaboda? Ukiwa barabarani hawa vijana (baadhi) utatamani ushuke ukamate mmoja umtafune, wanaweza kukuharibia siku kabisa. Pole kwa familia yake na sio yeye maana sasa atasababisha cost ambazo ni unnecessary
 
Utu umetoweka bodaboda ni binadamu kama nyie unavyosema hawajihurumii unafikiri watakula wap au Kwa Kuwa huwa hamtumii hiki chombo cha usafiri
Issue siyo utu au la. Boda hawafuati sheria za barabarani ndiyo maana wanakufa kwa vifo ambavyo wengi wanajitakia.
 
Back
Top Bottom