Wanaume wa humu hamna chochote ni madebe matupu wa mtaani hamna hela kukopwa ndio sababu tupo tupo,mwanaume ambaye akaunti yake bank akiwa na hela ni laki 7 wa nini huyo!atakuua njaa mwanaume pesa dudu hata nguruwe,mbwa ,nyani,ng,ombe wanasimamisha
cc. watu8 na Preta