Kama mbinguni wanaenda wenye ndoa,basi sitaenda

Kama mbinguni wanaenda wenye ndoa,basi sitaenda

Just do this, before you pack your bags and leave for good from your marriage with your kids, he is still your husband, ask him for a one month leave that should tally with the work leave only if you are working. Hapo waweza kwenda hoteli yoyote kutokana na uwezo wako na kama inawezekana muombe na yeye akufinance huko enjoy with your kids na usiwe na mawasiliano na mtu yeyote yule yaani uwe wewe tuu na watoto. Kama ni mama wa nyumbani au mjasiriamali au umejiri na biashara zako unaweza kaa zaidi ya miezi 2, ukiwa huko kwenye hiyo likizo waza mara mbili je unaweza kaa bila mumeo au utaanza kummiss na kuona bora awepo hata kama ni mzigo.
Usifikiri watu wengine wanaenda kwenye harusi pamoja wamevaa wamependeza ujue wanalea watoto na mapenzi yalishaisha siku nyingi. Wakiingia chumbani kwao wanalala mzungu wa nne au kila mtu analala kitanda chake na wengine vyumba tofauti kabisa ila hawaachani.
Think twice before you leave your marriage. Namuomba BAK aje akuwekee kibao cha celine dion cha think twice may be kitakubadili mawazo yako.
All the best mamy.

Ah ah ah ah! eventually Sakapal is back at his/her senses! dah best kama ungekuwa unatoa nondo hizi siku ile ya matofali ya moto na mabarafu tusingegombana! mimi niwaonye tu wanajamvi wengine humu wasiwe sababu ya kutenganisha ndoa hii bali wawe wajengaji ili kuona kama wanaweza kuiponya ndoa hii kama ulivyo sema sakapal. maana kuna wengine si waolewaji au ni wabomoaji wa ndoa za watu na wako humu JF so wanaweza kuwa sababu ya kuharibu ndoa kama hii
 
kama mmejenga wala usiondoke,ni
bora kujitenga chumba ili kulea wanao
msishiriki chochote,ni wengi yashatukuta kama hayo!!
ila mungu ni kila kitu omba sana!!
 
Mwenzenu nimeamua kuondoka kwangu,mume huyu wangu alinioa kihalali kanisani,leo nimenyoosha mikono najiandaa kuanza maisha peke yangu na wanangu,nimeshindwa,siko tayari kufa kwa ukimwi kwa kuwa sistahili,alinioa bikira na simjui mwanaume yeyote zaidi yake katika dunia hii.
Uzinzi,umalaya,matusi anayonipa,dharau,kejeli na kutokunijali vinanifanya niondoke kwangu,kuanzia leo nimedhamiria kuondoka rasmi,hata nikisikia umeoa chelenje sitakwenda kulalamika popote,kwa sababu najua utakuwa umemuoa mwanamke unayempenda,nimelia sana sasa nimeamua kufuta machozi na kusonga mbele,najua MUNGU HATANIACHA!:wave:

Heaven on earth nadhani unaona ile tofauti niliyokuwa najaribu kukueleza
 
mtoa mada hiyo avatar yako unaiish kweli ama unaihubiria tu??

manake kama unaniish huo msalaba wa YESU KRISTO, ni dawa ndio mana umewekwa kwenye bomba la sindano ili kukuponya na kuponya ndoa yako.

Dah mchungaji gfsonwin injili safi hiyo! ila una macho mm msalaba sikuuona eti? yani anatembea na majibu ya matatizo yake? nimeipenda hiyo mkuu
 
''mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi",ni kuwa nimechoka ndugu yangu, na huu muongozo wa kuondoka,naamini umetoka kwa Mungu!
 
Vizuri, endelea hivyo hivyo na msimamo wako. Ikiwa hutojali tafuta mwingine uishi nae, maisha ya kuwa single yanahitaji moyo mgumu kama bati la South Africa.

Lakini yanawezekana.
Apumzishe akili yake kwanza kabla ya kuamua kusaka stress nyingine.
 
kama mmejenga wala usiondoke,ni
bora kujitenga chumba ili kulea wanao
msishiriki chochote,ni wengi yashatukuta kama hayo!!
ila mungu ni kila kitu omba sana!!
nyumba si kitu,uhai wangu ndio wa maana sana na amani pia,niko radhi kuviacha my dia,hali ni mbaya kuliko mnavodhani,nilishafikiia kujitenga chumba but nikaona watoto wangeniuliza maswali ambao majibu ningekosa,acheni jamani
 
Na kesho akija hapa akawaambi amefuata ushauri wenu ....ameamua kukaa na mume wake sema ndo hivyo ameshamletea ukimwi .........mtamwambieaje.......wengine mtamgeuka hapa mtaanza ohhh we nawe ulikuwa mjinga ushaona mume kicheche bado upo tu? So wakati mnamshauri arudi mjue kuna hatari zake pia...atampa ukimwi na wataacha watoto yatima bila malezi bora....bora ujiondokee madame...na mbinguni utaenda...tena seat yako iko back bencher bale jirani na siti yangu.
 
''mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi",ni kuwa nimechoka ndugu yangu, na huu muongozo wa kuondoka,naamini umetoka kwa mungu!

nakuuliza tena hiyo avatar yako unaiish ama?? Kama unaiish usngeweka maneno "" kama mbinguni wanakwenda kwa ndoa...............................""

ungekuja na maneno """atukuzwe mungu ayajuaye maisha yetu kuliko tunavyoyajua sisi"

umesema hivi try jesus sio?? Unapata picha gani unapoona huo msalaba wa krito ndani ya bomba la sindano?? Kwamba yeye alikuja ili atuponye na kututoa kwenye maangamizi. Sasa kama kweli yeye ni bwana akuponyae kwamba yeye ni bwana mponyaji bwana anayeweza kututoa kwenye shimo la utelezi basi rudi kaa chini.

Mwambie hivi mungu; nakushukuru kwakua wewe mungu ulinipa huyu bwana x awe mume wangu na hawa watoto wawe watoto wetu. Ninaamini kwamba hukukosea kwasabbau mungu wewe huna makosa. Yumkini mungu haya niyapatayo ni kwasabbu nimekosa kufikia kiwango fulan cha utukufu ulichokikusudia mm nikifie ndio maana napita kwenye haya nipitiayo.

Yumkini mungu mm nilishindwa kutulia na kuskiliza sauti yako kwa makini ama nilitazamia akili zangu mwenyewe sasa mungu nakuomba unisamehe na samehe maisha yangu yote samehe mume wangu samehe na wanangu. Nakuomba mungu kwa makosa niliyofanya mimi yasiwe adhabu kwa watoto wangu hivyo nakuomba kwa jina la ayesu ukaisafishe hii ndoa upya ukaifunike kwa damu ya yesu na moto wa roho mtakatifu.

Malizia ukimwambia mungu nakuomba sasa mapenzi yako yatimizwe juu ya ndoa hii. Mwombe mungu akupe nguvu ya roho mtakatifu wake akusemezeshe wewe na akufanye kuwa hodari ka namna yyte ile ili uiskilize vyema sauti ya mungu.

Usisikilize sauti za kushindwa ila sikiliza sauti ya mungu, mwombe mungu akuveshe kicheko badala ya kilio.

Kumbuka sisi sote tu wakosaji ila mungu ndiye hutusamehe makosa yetu kila iitwapo leo.
 
Once a player always a player
maisha yenyewe mafupi haya kuishi na mwanaume full stress ya nini!!!!!

ita hard lakin sometimes inabidi tu
chelenje hope ujumbe wa giningi umekufikia

Hivi once a player always a player kweli mtu hawez badilika? Inatisha! Kuna yeyote humu alishawahi kuacha u player?
 
Last edited by a moderator:
Mwenzenu nimeamua kuondoka kwangu,mume huyu wangu alinioa kihalali kanisani,leo nimenyoosha mikono najiandaa kuanza maisha peke yangu na wanangu,nimeshindwa,siko tayari kufa kwa ukimwi kwa kuwa sistahili,alinioa bikira na simjui mwanaume yeyote zaidi yake katika dunia hii.
Uzinzi,umalaya,matusi anayonipa,dharau,kejeli na kutokunijali vinanifanya niondoke kwangu,kuanzia leo nimedhamiria kuondoka rasmi,hata nikisikia umeoa chelenje sitakwenda kulalamika popote,kwa sababu najua utakuwa umemuoa mwanamke unayempenda,nimelia sana sasa nimeamua kufuta machozi na kusonga mbele,najua MUNGU HATANIACHA!:wave:

Yamekukuta eeeehhh!!! Pole sana.
 
Vijana wa siku hizi ndoa imekuwa fashion, mnakutana vyuoni hata hamjasomana tabia mnafunga ndoa.Mama uliposikia watu wanavumilia huwa hawavumilii raha wenzio wanavumilia shida na kama ukishindwa kuvumilia shida kifuatacho ni kuchapwa fimbo za kila aina kitaa, vumilia ht wazaz wetu walivumiliana ndo mana walidumu nasi tukapatikana.Thnk before......
 
nyumba si kitu,uhai wangu ndio wa maana sana na amani pia,niko radhi kuviacha my dia,hali ni mbaya kuliko mnavodhani,nilishafikiia kujitenga chumba but nikaona watoto wangeniuliza maswali ambao majibu ningekosa,acheni jamani

naomba kujua kama utaondka na wanao/mwanao au unawaacha?
 
Katika maisha hasa ya ndoa kila mtu ana mzigo wake anaoubeba. Wakati mwingine anahitaji muda wa kukaa peke yake kwa ajili ya kupumizisha akili.

Ningependa kujua ukiondoka una uwezo wa kumudu mahitaji yako ya kila siku? Maana hiyo mara nyingi uwa shida ya akina mama wengi katika maisha ya ndoa. Wananyanyasika kwa kuwa hawana pakwenda. Ogopa mwanaume anayejua kuwa unamtegemea kwa kiasi kikubwa utapata shida.

Pole sana, Mungu akuongoze kutenda lililo jema.
 
Katika maisha hasa ya ndoa kila mtu ana mzigo wake anaoubeba. Wakati mwingine anahitaji muda wa kukaa peke yake kwa ajili ya kupumizisha akili.

Ningependa kujua ukiondoka una uwezo wa kumudu mahitaji yako ya kila siku na wanao? Maana hiyo mara nyingi uwa shida ya akina mama wengi katika maisha ya ndoa. Wananyanyasika kwa kuwa hawana pakwenda. Ogopa mwanaume anayejua kuwa unamtegemea kwa kiasi kikubwa utapata shida.

Pole sana, Mungu akuongoze kutenda lililo jema.
 
Si kuna mijianaume humu husema haioi second end !!mpaka bikira ona sasa huyu na bikra yake kadharauliwa ,am telling yu guys hamjui ni nini mnachohitaji hapa duniani.kazi yenu ni kufukua rupia za mjerumani!!
 
Ah ah ah ah! eventually Sakapal is back at his/her senses! dah best kama ungekuwa unatoa nondo hizi siku ile ya matofali ya moto na mabarafu tusingegombana! mimi niwaonye tu wanajamvi wengine humu wasiwe sababu ya kutenganisha ndoa hii bali wawe wajengaji ili kuona kama wanaweza kuiponya ndoa hii kama ulivyo sema sakapal. maana kuna wengine si waolewaji au ni wabomoaji wa ndoa za watu na wako humu JF so wanaweza kuwa sababu ya kuharibu ndoa kama hii

hahahahaaaaaaaaa usinchekeshe, ni kwamba nimeacha ile makitu inaitwa ganja au mibange si unajua nimebeba kitu cha raisi wa dunia, nikishusha huu mzigo :mimba: I'll be back in those senses, actually he (Obama) missed my nasty...
 
ah ah ah ah ah! hongera bana kwa huo mzigo ingawa na baridi hii inabidi obama azibidiwe maana hali yako hiyo!
 
Back
Top Bottom