Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,238
U guy don't contradict urself "To fear love is to fear life......". Seems people here are not realistic!
Yap yap...hii sasa ndiyo mistari.
U guy don't contradict urself "To fear love is to fear life......". Seems people here are not realistic!
Uniqueness and speciality nitakuonyesha wewe tu lara 1, special surprise!
China, in Shanghai looking for a new headquarters location. Saw several industrial parks ....公司在上海找中國區新總部的地點。看了好幾個工業園....
Usiogope kukutana na watu wa humu ila cha muhimu ni ku set lengo zuri la kukutana, kama vile kufahamiana kwa urafiki wa kawaida, kushauriana au biashara nk, ila kama ni kuwa na wazo la mapenzi, mmmhh unaweza dhani mimi ni li handsome kumbe LoL ila kama ishu za kawaida sioni tatizo mbona hata maisha ya uraiani tunakutana na watu wa kila aina na ndio wengine tumo humu so what special humu JF.AMU, ulikuwa akilini mwangu,nilitaka kumuuliaa hivyo!
Maana ss tutaogopa kuonana na watu hum coz tutaanzishiwa uzi hum,halafu yakawa yaleyale ya SAKAPAL...baada ya kufahamiana mawasiliano yakakata
公司在上海找中國區新總部的地點。看了好幾個工業園....
Lol...I didn't know that everything is so simple to you Simplicity
China, in Shanghai looking for a new headquarters location. Saw several industrial parks ....
alimaanisha hivi !!
Ndio raha ya JF jamaa amejitahidi kutumia chinese characters bado watu wameelewa nimejaribu naoana ilikuwa inaleta kwenye pinyinChina, in Shanghai looking for a new headquarters location. Saw several industrial parks ....
alimaanisha hivi !!
Kaka mkubwa mbona watuwekea Traditional Chinese...kulikoni!
Hii mechi ishaisha, ni 4 kwa 0 hii. Mchokoza mada hawezi rudi maana kishatolewa nock out siku nyingi sana, tena TKO. Angeanza Kiswahili kuliko kuazima kiingereza na aliyemuazima kalala hataki kuamka kumjibia.
I want to hear a comment from Lara 1Dear All,
This is an open and sincere declaration to you all MMU members, that I've guts and would like to meet lara 1 as far as confidentiality is concerned. I'm not 100% certain of what this proposed appointment may bring, but I've good faith and confidence that my dreams and imagination may become true!
I declare, under penalty of perjury, that any exchange of information during our meeting, whether visual, signal, symbolic, physical, emotional or in whichever format is our exclusive right and/or our intellectual property; and should not be shared and/or transmitted in any form, whether electronic, verbal, internet, physical, contemplative, magical or spiritual to any third parties.
Thank you in advance for your anticipated cooperation and assistance regarding this endeavor.
Very truly yours,
Simplicity.
cc: lara 1
I meet her last night near by the super market street and good news is, she was also looking for you during noon time at the all city centre streets.
What you have done here is good thing for her and if you might not meet one another, I'll try to find her and pass this msg.
Rule of the game "confidentiality"
Naona umetumia supreme court language ili avutiwe na kweli technique yako imejibu huoni alivyofurahishwa kujua u 're a lawyer keeep on
hahahahahahahahaha
naona utaki kuendelea kutumia meno na kucha zako.