Ukitaka kutajirika oa/olewa kabila hili...

wazungu wana tabia gani mkuu?

sio tabia...kwanza kabisa ukioa mzungu unahakikisha kwamba mtoto wako ana passport ya eu au marekani. that ni maendeleo in the sense kwamba mtoto wako hatapata tabu za kijinga jinga.
na kama ikiwezekana ao british....becoz to be born british is to win the lotary of life.....yaani wewe mtoto wako lugha mama ndio lugha inayotawala hapa duniani...hapa ni maendeleo sana maana totoz angalu skonga hatapata tabu sana kama hawa wetu wa shule za kata.....maendeleo not interms of monetary value but rather interms of potential to have a decent life for ur offsprings
 
Ahsante kwakujua hilo chezea wachaga ww utalala njaaa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kazi kwelikweli, ndio maana hamna ndoa siku hizi.
Ninafikiri cha kwanza kwenye ndoa ni mapenzi, au????
 
Nilikutana na mjamaika-mtz mmoja alikuwa anafundisha ujasiliamali akatusihi huoa wanawake wa makabila haya ili kuwa na uhakika wa kipato:
1. Wachaga
Ila uwe mvumilivu na mbunifu,kama unataka pesa utazipata ikiwa unajali mawazo yake. Ni wabunifu ktk biashara na kuna uwezekano ukazaa watoto wenye akili ya pesa/kutafuta. Wanachangamkia fulsa hata kama ndogo.
2. Wakikuyu
Hawa tabia zao ni kama wachaga kwa Tanzania. Wanapenda kazi na ni watafutaji wazuri wa pesa. Si wavivu ktk kutafuta gaps na kuzitumia.
3. Wayoruba
Hawa nao ni wazuri ktk kuchangamkia fursa. Ukipata mke myoruba jua tayari una mtaji mzuri na ukiutumia vzr unapata pesa za kutoshaa.
KUMBUKA: wasichana/wanaume wa makabila haya wana-software ambayo usipoi-accept na kui-run in your system utaambulia patupu. Pia weka control system maana akikuzidi akili ya biashara na ki-utawala utabaki kulaumu.
NB: mi nilimkimbia mmoja as kwangu maisha ni zaidi ya pesa!
Uchaguzi mwema!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Hi vi kumbe vijana wa siku hizi wanaoa kupata mitaji ya pesa? Kumbe wanawake pia ni mitaji? Elimu ya ujasiliamali unafundisha aina ya wanawake wa kuoa? Ukufunzi wa aina gani huu?
Copy: Kaunga, gfsonwin, Mr Rocky, Nivea, Madam B, nyumba kubwa, Kongosho, snowhite, SnowBall, Mtambuzi, watu8, The Boss,Nyani Ngabu, Mzee Mwanakijiji kama upo karibu na plz njoo ushuhudie ukufunzi wa siku hizi ...
 
Last edited by a moderator:

Kaka mkubwa mimi hata sishangai haya manek juzi nilikuwa mitaa ya UDSMA nikamskia kijana mmoja anangea na mwenzie (walikuwa lunch) eti ukittaka kuwa tajiri basi oa mzungu ama mwanamke aliyefiwa na mumewe mtu mzima.

kwakua nilikuwa kwenye folen ya kununua msosi hapa mgahawani nilijikuta naguna enh!!!!!!!!! kwasauti watu wakaskia. baba mmoja aliyekuwa mbele yangu kwenye mstari akasema mama unashangaa haya?? ndo mana siku hizi nimesema mie hata mwanagu bora aniletee mtu mzima mwenzangu kwamba huyu ndo mume kuliko kuniletea hawa vijana wa siku hizi. miye nikabaki tobaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
 
Kwa mantiki hii, hatuna ndoa tena kwa vijana wetu, migogoro ya ndoa haitaisha, malalamiko ya ndoa hapa jukwaani nayo hayataisha kamwe, upendo hautakuwepo tena maana vijana wanaoa kupata mitaji ya maisha wakati wadada wanatarajia faraja na upendo, kazi kweli kweli!!!!

Kilichonisikitisha zaidi, ni kwamba elimu hii batili wanapewa watu kwenye seminar ya ujasilimali, yaani kuoa kuwe ni sehemu ya mtu kuwa na hakika ya kipato. Badala ya kufundishwa namna ya kufanya biashara, na kwenda kuziona asasi za mikopo kupata mitaji na kutumia mitaji vzr kuendeleza vipato na kukuza mitaji yao, wao wanafundishwa sijui elimu gani hizi mbaya mbaya. Hizi elimu zinawafunza nini vijana? Nimesoma uzi huu nikajisikia uchungu sana moyoni. Ndiyo maana baadhi ya vijana ni wavivu, hawajitumi, wapenda starehe na wanataka mali za haraka haraka kwa njia kama hizi. Inasikitisha sana.
 
Nilikutana na mjamaika-mtz mmoja alikuwa anafundisha ujasiliamali akatusihi huoa wanawake wa makabila haya ili kuwa na uhakika wa kipato:
1. Wachaga
Ila uwe mvumilivu na mbunifu,kama unataka pesa utazipata ikiwa unajali mawazo yake. Ni wabunifu ktk biashara na kuna uwezekano ukazaa watoto wenye akili ya pesa/kutafuta. Wanachangamkia fulsa hata kama ndogo.
2. Wakikuyu
Hawa tabia zao ni kama wachaga kwa Tanzania. Wanapenda kazi na ni watafutaji wazuri wa pesa. Si wavivu ktk kutafuta gaps na kuzitumia.
3. Wayoruba
Hawa nao ni wazuri ktk kuchangamkia fursa. Ukipata mke myoruba jua tayari una mtaji mzuri na ukiutumia vzr unapata pesa za kutoshaa.
KUMBUKA: wasichana/wanaume wa makabila haya wana-software ambayo usipoi-accept na kui-run in your system utaambulia patupu. Pia weka control system maana akikuzidi akili ya biashara na ki-utawala utabaki kulaumu.
NB: mi nilimkimbia mmoja as kwangu maisha ni zaidi ya pesa!
Uchaguzi mwema!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

humemsahau mzaramu na chinga
 
Teh! Teh!
naona sasa umefunga domo lako na wachagga eeee maana mapovu yamekwisha hata ukatae wewe ni kuumbe mdogona sawa na hauexists ni empty space kabisa maana hakuna anaeelewaa unachosema ni sawa na kula chapati na kuasume mchuzi ni maji ya bahari,wachaga ndio walioleta maendeleo mikoa yote ya tanzania na kuwafuta ujinga makabila mengine ,kwa hiyo ukimkataa mchaga kwenye ndoa utanunua dukani kwake ,ukikataa dukani kwake ,utapanga nyumba yake kwikwiwkwiwkwiwk nazi haishindani na jiwe
 
Natamani ningelikuambatanishia uzi wa best yangu lara 1...hebu ngoja niusake halafu ntarudi...
 
Last edited by a moderator:
Wachaga.............wachaga.....................wachaga..................Jamani tuwapumzishe tuchukue na kabila jingine.
 
Are entrepreneurs born or created?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nilikutana na mjamaika-mtz mmoja alikuwa anafundisha ujasiliamali akatusihi huoa wanawake wa makabila haya ili kuwa na uhakika wa kipato:
1. Wachaga
Ila uwe mvumilivu na mbunifu,kama unataka pesa utazipata ikiwa unajali mawazo yake. Ni wabunifu ktk biashara na kuna uwezekano ukazaa watoto wenye akili ya pesa/kutafuta. Wanachangamkia fulsa hata kama ndogo.
2. Wakikuyu
Hawa tabia zao ni kama wachaga kwa Tanzania. Wanapenda kazi na ni watafutaji wazuri wa pesa. Si wavivu ktk kutafuta gaps na kuzitumia.
3. Wayoruba
Hawa nao ni wazuri ktk kuchangamkia fursa. Ukipata mke myoruba jua tayari una mtaji mzuri na ukiutumia vzr unapata pesa za kutoshaa.
KUMBUKA: wasichana/wanaume wa makabila haya wana-software ambayo usipoi-accept na kui-run in your system utaambulia patupu. Pia weka control system maana akikuzidi akili ya biashara na ki-utawala utabaki kulaumu.
NB: mi nilimkimbia mmoja as kwangu maisha ni zaidi ya pesa!
Uchaguzi mwema!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Maneno haya yatakusaidia 'akili mukichwa' na ' mawazo yakuambiwa changanya na yako' angalia uhalisia kuliko kuambiwa hili nalo linahitaji kugoogle? kesho ucje omba ushari wa ndoa yako na mmachame hapa tushakushauri kabla hayajakukuta
 
Back
Top Bottom