Recent content by Willy Gamba 1

  1. Willy Gamba 1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Reports have claimed that the 23-year-old midfielder has already agreed personal terms on a contract and is set to become Arsene Wenger's first signing of the January windowBasel midfielder Mohamed Elneny is having a medical with Arsenal , according to the former assistant coach of the Egypt...
  2. Willy Gamba 1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal will launch a £33 million bid for Sevilla midfielder Grzegorz Krychowiak, according to The Sun . The report claims that Wenger has been keeping tabs on the 25-year-old for over a year and is now ready to activate his buyout clause in the January transfer window. Wenger’s priority in...
  3. Willy Gamba 1

    Series (Special thread)

    inavyoonekana Sunny nae anamauwezo kama yao ila hajajijua jinsi ya kuyaamsha hayo mashetani ila jamaa alijitahidi kuwabana sema walitumia 'goli la mkono'
  4. Willy Gamba 1

    Series (Special thread)

    Into the badlands imetoka ep6 nimemaliza kuicheki ipo vizuri inazidi kuacha maswali zaidi. Na hii episode Ni kaliiiiii C.C leonardo da vinc
  5. Willy Gamba 1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    games ngumu zote aseno wakicheza hivi basi ubingwA kibindoni mapema sana
  6. Willy Gamba 1

    Movie gani ya kipelelezi unaikubali kuliko zote hadi kesho?

    hapa sio ya kikorea..amecheza yule Jason Statham aliecheza muvi za transporter na Italian Job
  7. Willy Gamba 1

    Movie gani ya kipelelezi unaikubali kuliko zote hadi kesho?

    SPY ina ukomedi sana niilipenda hasahasa lile mama bonge duh
  8. Willy Gamba 1

    Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    swadaktaaaa nilikuwa nachungulia humu Mara kwa Mara hatimaye kumenoga
  9. Willy Gamba 1

    Series (Special thread)

    Mi nnavyofikiri Sunny atashindwa kutoroka kwenda anakotaka kwenda, sanasana anaeza kwenda kuungana na yule mama the widow kwani kwa Barren ameshaharibu. Ngoja tuone
  10. Willy Gamba 1

    Series (Special thread)

    into the badlands Ni nzuri ninAifuatilia ila naona kiza huko mbeleni kwani yule Dogo M.K anazidi kuji-expose sana na kumuweka Sunny kwenye wakati mgumu. ipo vizuri so far
  11. Willy Gamba 1

    Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

    Nyingine nayo yaitwa SIMON SAYS si haba
  12. Willy Gamba 1

    Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    asanteeeeeee
  13. Willy Gamba 1

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    nasikia mtaani mmebatizwa jina jipya, Eti mwaitwa Mwanitesa United
  14. Willy Gamba 1

    Wadau wenzangu.. Hivi mnamuona kweli Ibrahim Ajib?

    hebu tuonyeshe huyo kijana wa kibongo wa miaka 16 au 17 tumfahamu! tunaongelea wachezaji wetu wa kibongo sio wa mbele huko mkuu
  15. Willy Gamba 1

    Wadau wenzangu.. Hivi mnamuona kweli Ibrahim Ajib?

    huyu mchezaji kibongo bongo yupo juu tusemeni ukweli tu. ila tukitaka kumlinganisha na hao wengine wa 'majuu' tutakuwa hatumtendei haki hata sisi vilevile. Ndo wachezaji wetu hao tulionao tujivunie kwao
Back
Top Bottom