Recent content by wilgie paul

  1. W

    I need a boyfriend

    take a boyfriend
  2. W

    Hii ndiyo CHADEMA tunayoifahamu, siyo ya kukurupuka usingizini

    hawa chadema hakuna kitu tena bana ccm ni mpya kabisa bana cyo kama ya zamani ndo maana tunaona mabadiliko kila kona
  3. W

    Kama umedisco unaweza kurudia mwaka

    hapo itabidi aanze mwk wa kwanza tena
  4. W

    TANZIA: Kifo cha mwanaJamiiForums mwenzetu Ibra87, mtunzi wa riwaya inayopendwa "Nitakupata tu"

    RIP BROTHER IBRA Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  5. W

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Cyo kwamba jitihada hazifanyiki na siyo kwamba serikali haioni na pia haifurahishwi na kinachoendelea na siyo mpango kabisa wa serikali ila jitihada mbalimbali zinafanyika aana sasa kuifanya hali kuwa sawa na muda si mrefu hali itakuwa shwari
  6. W

    Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Sasa hawa jamaa wasipoangaliwa vizuri wataiharibu amani ya maeneo mengine ya nchi nani hatari sana kwa taifa maana tunapoteza sana watu muhimu katika nchi
  7. W

    Acacia wazidi kusisitiza hawajawahi kuibia nchi na hawako tayari kulipa 108 trilioni

    Dah!!! Mbona msala huu mnatupa habari nyingi sa tunashindwa tuwaelewe vp ila ngoja tulishikilie kwanza la Raisi
  8. W

    E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

    Enough is enough lets discuss other issues Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  9. W

    E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

    This is serios issue not entertainment issues how does shilawadu concern??? Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  10. W

    Nilichokiona NHIF

    Kwa nini hukuuliza urudi baada ya muda gaji au uliamua kukaa kimya ili uweze kuoata la kulalamikia kumbuka anaofanya kazi ni binadamu na wanadamu cyo wakamilifu vp sasa kama alisahau huku wewe hujamuuliza huoni wewe una makosa
  11. W

    Nilichokiona NHIF

    Huo ni uongo mimi nasoma chuo katoka kupata kadi yangu ya bima ya afya nililipia na niliisubiri kwa muda wa siku 21 na nikapata message niende nikachukue card yangu sasa wewe unayesema miezi sita sina uhakika kama una hata card ya bima ya afya ya nhif na kama unayo cyo wewe unaelipia umekatiwa...
  12. W

    Nilichokiona NHIF

    Ila mbona mimi niliwahi kuyaokoa maisha ya mzazi wangu kupitia bima ya afya tena katika hali ya dharura na nilipata kibali cha matibabu kwa haraka bila hata ya usumbufu ila mimi naona ni bora tungefanya uchunguzi kwanza juu ya ukweli wa habari hii jamani
  13. W

    Tizama maandalizi ya UKUTA

    Ni kweli wengu hawana habari kuhusiana na ukuta
  14. W

    Muumini auawa na mchungaji

    Kwa kweli imani hii imevuka mipaka hapo hakuna mchungaji wala muumini wote hawana imani hao wanafanya maigizo kwenye mambo ya mungu.
Back
Top Bottom