Muumini auawa na mchungaji

Muumini auawa na mchungaji

Status
Not open for further replies.
Hawa walokole hawana lolote wanataka kuwamaliza ndugu zetu tu, sasa ilikuwaje mpaka kaamua kumuwekea spika kubwa kama hilo makusudi tumboni
 
Wanaukumbi.

Katika harakati za kuonyesha miujiza ya Mwenyezi Mungu, Mchungaji mmoja wa huko Afrika Kusini, katika Kanisa la ‘The Mount Zion General Assembly’ aliyejulikana kwa jina la Lethebo Rabalango, alishindwa kuonyesha miujiza hiyo iliyoishia kwa mwanamke ambaye ni muumini wa kanisa lake kupoteza maisha baada ya kuwekewa spika nzito juu ya mwili wake alipokua amelala chini.

Mchungaji Lethebo Rabalango alimwalika mwanamke mmoja kwenye jukwaa na kumwambia alale chini na kisha kuaamuru wasadizi wake kumuwekea spika ya redio kubwa yenye uzito wa kilo 113.4, na kama hiyo haikutosha Mchungaji huyo akapanda na kukaa juu huku akisema mwanamke huyo hatapata maumivu yoyote kwa ajili ya nguvu na uwezo aliyonao Mungu.

Cha kushangaza mwanamke huyo alipoteza maisha papo hapo kutokana na uzito wa spika ile kusababisha madhara kwenye mfumo wa upumuaji wake.

Tunazo stori kuhusu Manabii na Wachungaji wa hapa Nchini, tukutane kwenye Ncha ya sindano Jumamosi hii saa moja kamili asubuhi.

Source; TIME FM TZ
 
Hahaha ilishaletwa zamani sana kumbe hawaja kutag kwenye ule uzi
 
Nimegundua!:Muumini Sio Tu Ana Imani Haba,Lakini Pia Afya Yake ni Mbovu!
R.I.P
 
hahahaaaaaaaaa,!wamezoea kutuibia,kuna mmoja ana wadanganya wenzie eti kamuomba,mungu akamletea mchicha shambani mwake,kumbe mchicha pori umejiotea wenyewe,waumini nao wanashangilia,
 
Kwa kweli imani hii imevuka mipaka hapo hakuna mchungaji wala muumini wote hawana imani hao wanafanya maigizo kwenye mambo ya mungu.
 
Hii dini ya ajabu sana hata ukiangalia watu wake usoni utaona kuna kitu wamenyimwa hovyo sana,sijui tatizo ni nguruwe au vipi
Kama ni MWANAMKE bila shaka MUMEO atakua ni kati ya WANAUME waliowahi KUOA vitu vya AJABU hapa DUNIANI..!
Mwanamke wa KIISLAMU mwenye HEKIMA hawezi akaandika hiki ULICHOKIANDIKA hapa..!
 
MUUMINI AUAWA BAADA YA MCHUNGAJI KUSHINDWA KUFANYA MIUJIZA.

aisha-vs-37.jpg


Katika harakati za kuonyesha miujiza ya Mwenyezi Mungu, Mchungaji mmoja kutoka huko Afrika Kusini, katika Kanisa la ‘The Mount Zion General Assembly’ aliyejulikana kwa jina la Lethebo Rabalango, kushindwa kuonyesha miujiza hiyo iliyoishia kwa mwanamke ambaye ni muumini wa kanisa lake kupoteza maisha baada ya kuwekewa spika nzito juu ya mwili wake alipokua amelala chini.

Mchungaji Lethebo Rabalango alimwalika mwanamke mmoja kwenye jukwaa na kumwambia alale chini na kisha kuaamuru wasadizi wake kumuwekea spika ya redio kubwa yenye uzito wa kilo 113.4, na kama hiyo haikutosha Mchungaji huyo akapanda na kukaa juu huku akisema mwanamke huyo hatapata maumivu yoyote kwa ajili ya nguvu na uwezo aliyonao mungu. Na cha kushangaza mwanamke huyo alipoteza maisha papo hapo kutokana na uzito wa spika ile kusababisha madhara kwenye mfumo wa upumuaji wake.

vllkyt3uqq8u2k211.35fb08c2.jpg


vllkyt5sfgjtd0shq.44b8b5af.jpg


Mwanamke huyo alibakia kimya kwa muda na kusemekana amezimia, Jitihada za kumzindua ziligonga mwamba na mwisho mwanamke huyo alifariki alipofikishwa hospitali ya mjini humo. Mchungaji alilaumu kwa kusema kwamba muumini huyo hakuwa na imani ya kutosha.

Wale mnaokimbilia miujiza badala ya Neno la Mungu mjifunze sio kila aliyeshika Bible na kumtaja Yesu Kristo ni Mtumishi wa Mungu wengine wavuta bangi na wahuni tu.
 
Ukweli umekuwa uongo na uongo umekuwa ukweli, ipo siku Ukweli utajulikana.. Maana ukweli unaishi.
 
Hawa Watu Jamani..njaa hizi Mdada wa Watu bila kujua kafa. huyo Mchungaji feki anyongwe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom