Nina best yangu nampenda sana tumekuwa marafiki kwa mda mrefu san kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu,tatizo ni kwamba sikuhiz kabadilika sana yani ananifanyia visa vya maksudi,anamajibu mabaya na dharau.kiukwel mambo haya yamepelekea tugombane sana,nimechoshwa na hali hii nikamwambia kilamtu awe...