Yote Maisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yote Maisha

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masanilo, Jun 21, 2011.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Yote maisha! Wengine tumefikia hapa tulipo sababu kuna wale walioamuakujitoa Muhanga kwa mapendo. Mama huyo ana uza vitumbua vya moto moto aweze lipa ada ya watoto wake.
   
 2. RR

  RR JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Halafu kuna mijitu inawathubutu kuwatukana mama zao....
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Picha hiyo imenikumbusha mbali sana....Ngoja niongee na mama yangu haraka.
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mimi nina rafiki yangu yuko na maisha mazuri sana ila anakwambia mama yake alikuwa anapika maandazi na yeye na nduguze wanayatembeza asubuhi kabla hawajaenda shule, na imelipa sasa himi mama anakulia kivulini
   
 5. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ndio mana nikickiaga anaumwa mafua mie naumwa malaria kabisa, wacha na mie nikamtumie mafuta ya kimbo...
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hivi bado yapo hayo? Niliyaona Museum miaka kadhaa nyuma
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Imagine,kama kuna siku nilimnyanyulia mama mikono juu ni siku nilipozaa mtoto wangu wa kwanza,mwacheni mama aitwe mama.Mtu yoyote aitwae mama muheshimu atafanya lolote kwa ajili ya watoto wake.

   
 8. RR

  RR JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  If i could turn the clock back....
  She must be somewhere watching ..... almost 11years now....
   
 9. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  hahaha haya bwana, cjui kama bado yapo nimeyakumbuka tu wakati ule mama akinituma kuyanunua.
   
 10. charger

  charger JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duh umenikumbusha mbali kweli,nakumbuka wakati wadogo kuna mama 1 alikuwaga anapika vitumbua cha ajabu vilikuwa havikai watu wanaacha container jana yake,watu walikuwa wanadai anatumia li.......nani sjui.
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuna siku nilikutana na mama mmoja mitaa ya Uswazi ninakaoishi anachoma maandazi! Nikanunua 2 nishushie na soda nikampa 1000, nikamwambia mama chenji baki nayo...hakuamini kwa mshangao!
   
 12. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo sasa ndo inafaa kwa siku izi kuwa sadaka, make wachungaji wengi siku izi hawaaminiki.

  Isitoshe wengi wao wanamiliki mali za anasa.
   
 13. W

  WIERD Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So absurd!
   
 14. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mkuu Mch. na wewe ni mmoja wa waliokuwa wanatetewa na the so called mtoto wa mkulima kuhusu posho nini?
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kiongozi heshima mbele

  Mimi mtoto wa mkulima aka Pinda Mizengo Kayanze yuko kwenye Ignore list yangu.
   
 16. s

  shoshte Senior Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamna kama kama mzazi na ndo maana hata Biblia inasema mheshimu baba na mama yako ili upate kuishi siku nyingi
   
 17. MamaParoko

  MamaParoko JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 465
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na pale tu nawe unapokuwa mzazi ndio unaelewa thamani yake.
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hivi eeehhh...Condoleezza Rice na Oprah Winfrey wao hawajajua thamani ya mzazi?
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hii imenigusa sana, once nikinunua kitu kwa mama yoyote nitatoa sadaka, wakati mwingine tunajenga sifa baa, lakini naamini huyu uliyemwambia keep change alifurahi na lazima alisema neno moyoni mwake
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huwezi jua kabisa baraka twazipata wapi! Ila siachi change bar wala kwenye dala dala
   
Loading...