Kwa wanaume; naomba ufanye jaribio hili asubuhi hii...

Ahhhhhhhh kumbe
Atakaye niambia umependeza
Leo Yake ngumu .. asanteni na
Kila lakheri

Haa akina Dada inaonekana mbinu hii mmeishitukia, bado tutaendelea kuwanasa tu maana mbinu ziko nyingi sana na kwa sasa hatuwezi kuziweka hadharani kwa maslahi yetu sisi akina kaka.
 
Haa akina Dada inaonekana mbinu hii mmeishitukia, bado tutaendelea kuwanasa tu maana mbinu ziko nyingi sana na kwa sasa hatuwezi kuziweka hadharani kwa maslahi yetu sisi akina kaka.
Hahaha mpaka mwishowamwezi tumejua mengi .. ndani ya siku mbili mmesha toa mawiliKuna hili na lile la kutudanganyaNazikusanya tu.. asanteeni kwa ukarimu wenu lol
 
Nimemwambia mdada mmoja kuwa amependeza amenijibu eti "kwani wewe ndio unajua leo,mbona ni kawaida yangu".,nikaona asubuhi yangu imeshaharibika.
 
mmhh wewe mbea jaman mwee..!!!!!!!!!1
tabasamu dk mbili cheko dk ngap sasa?
ehh aya!!!!!!

io boksa imekutoa leoa du ..kesho vaaa tena iyo iyo!!!

Hahaha...leo sijavaa ki2 ndani..huyooooooooooooooooo!!!!
 
Naona zoezi limekuwa gumu maana wadada nao wameamua kuingia kwenye hii sredi japo nilisema ni ya wanaume tu.
 
Mi niko likizo, wife kaondoka asubuhu asubuhi, sasa najiuliza hii niiapply kwa mdada wetu wa kazi au niipotezee nisije leta matatizo! Mwongozo tafadhari.

wewe hata kabla ya kutuuliza hapa,
inaonyesha ndo zako hizo lol...
 
matatizo yatakujaje?
au afta kusema UMEPENDEZA..una ajenda ingne unataka kuitoa?
km issue ni umeopendeza tu ata mamako mzaz waweza sema lakin ikiwa ni km key word kwa mengneyo kufuata basi uchune tu..MCHEK WAIF MWULIZE UMETOKAJE LEO?....akiikujibu mwambie najua utakua umetoka bomba kishenzi leo..

Nimekupata, wasiwasi wangu naweza kumwambia umependeza hafu baadaye wife akija anaanza kujilinganisha, make anaweza tafasiri kwamba nimemkubali wakati mi nilikuwa nafata mambo ya JF tu.
 
wewe hata kabla ya kutuuliza hapa,
inaonyesha ndo zako hizo lol...

Aagh! Mi nimeomba mwongozo boci, make jamaa kashauri leo asubuhi tukifika ofisini tuwaambie madada/mamama kwamba mmependeza hata kama umeoa. Sasa kwa si tulio likizo hii inatupita au tuiapply hapa hom?
 
Nimemwambia mdada mmoja kuwa amependeza amenijibu eti "kwani wewe ndio unajua leo,mbona ni kawaida yangu".,nikaona asubuhi yangu imeshaharibika.

O la la!!!!!!!!!!!

Heri mimi sijajaribu bado, nakusanya kwanza feedback za wengine,,,, manake nilihisi tu inaweza tokea -ve response...

Pole anyway..
 
Kama asubuhi hii ofisini kwako kuna mwanamke (hata kama mke wa mtu), ambaye bado hujaonana naye, ukionana naye, katika salamu changanya na neo "umependeza sana". I mean kwa mfano 'Mambo... umependeza'

Then angalia jibu na response utakayopata, kisha tutaidiscuss baadae.

Leo nimeamua niwashirikishe katika tafiti zangu ili akina Marytina wasianze kuniuliuliza mambo ya sample size...

Nimeshtukia utafiti wako, hapa watu watajuana bila kipingamizi kwamba mmmh fulani kumbe yupo JF, teh teh teh .......mmmmh
 
Mi niko likizo, wife kaondoka asubuhu asubuhi, sasa najiuliza hii niiapply kwa mdada wetu wa kazi au niipotezee nisije leta matatizo! Mwongozo tafadhari.
.........mbona unataka kumtia majaribuni binti wa watu?????
 
mbona mimi huwa nafanya hivyo daily....

na ukitaka kuwaudhi wadada

uwakute wako kama watatu au zaidi
halafu msifie mmoja,
halafu tazama sura za wengine lol
 
Back
Top Bottom