Kuna watu...

Nawachukia sana wanafiki, kutoka moyoni! siwezi kuelezea chuki yangu kwa binadamu wa namna hii lakini NAWACHUKIA.
 
Lizzy marafiki zako huwa wana kubetray sana, embu kaa chini na wewe ujiangalie upya labda kuna mahala unakoseaunaweza ukawa unaona unasalitiwa kila kukicha na marafiki, kumbe tatizo umelikumbatia mwenyewe, mwisho wa siku unajikuta huna rafiki hata mmoja sababu hukujua wapi unakosea, jaribu kuchunguza na hili lizzy. atukirudi katika hali ya kawaida ni kweli unaweza ukawa na marafiki kila kukicha wanakutenda wewe tu hadi unajiuliza una mkosi gani, nafikiri tuwe makini sana wakati tunachagua tuwe na rafiki wa aina gani, coz mwisho wa siku ndio inaishia kama hivi
 
pole saaaaaaaaaaaana, lkn lichukulie hatua ili uepuke tatizo la namna hiyo siku za usoni, pola,..
 
Mimi ndio maana maishani mwangu sijawahi kuwa na rafiki. Nina company tu ambazo si permanent na ni pale ninapohitaji. Nadhani ni kwa malezi niliyolelewa, baba alikuwa hapendi tuzurure majumbani kwa watu. Hence hata wale ambao nimekua nao kitaani sikuwa close nao kihivyo. Hata ofisini niko close na dada mmoja but huwezi amini sikujuhi hata nyumbani kwake na yeye hajawahi fika kwangu. Na hata mazungumzo yetu ni ya juu juu hakuna kushare secrets. Nilienda kwa wazazi wake pale mama yake alipofariki. Well labda ni nature ya kazi yangu ambayo ni too demanding plus majukumu ya familia. My friends ni mume wangu na watoto; nikipata muda I am also more comfortable sharing my secrets with my young sister.

Kwa hiyo headache ya marafiki nilisha iepuka.
 
....wana roho mbaya sana!!Wanamfanya mtu aamini ni marafiki wa kweli....wanaaminiwa na kuTREATwa kwa heshima na mapenzi kama marafiki alafu wanageuka na kumfanyia mwenzao kitu ambacho rafiki hawezi kufanya hata siku moja.Hata adui tu ataona aibu kidogo. Binafsi nimekua na bahati (mbaya) sana ya kukutana na watu wa aina hii....nadhani ntaanza kuhitaji watu waniombe urafiki kama. wanavyoomba uchumba na nichukue zaidi ya mwaka kuwachunguza na kujua ni watu wa aina gani kabla ya kuwapa sifa na cheo cha urafiki kwenye maisha yangu!!Kama na wewe uko hivi badilika maana sidhani kama mnapata faida yotote.

Masikini, ukujuwa kuwa wakati mwingine tafiki huwa mkia wa fisi, ukimfuata...!
 
Mimi huwa najitambua kabisa sina rafiki kwani watu wote huwa nawatreat sawa kabisa. Na nimefikia hatua ya kujifikira kwamba niko tofauti sana na watu? Kumbe ndo style ya maisha nzuri, Principle ya maisha yangu:
Love everybody, trust no body.
 
do not trust anybody but yourself

Pole dada.. siku nyingine usiamini sana rafiki/marafiki..

Love everybody, trust no body.

Hivi does it mean kwamba ukimuamini rafiki ndio anakubetray..... Mtu yoyote anaweza akakufanyia jambo baya, but it pains when it comes from a friend... Hata usipomuamini mtu anaweza akaku-stab in the back, akakusingizia, akasema uongo kuhusu wewe, akakuibia kitu chako n.k. the list is endless... Trust or no Trust...

Cha maana ni sisi kutowatendea watu mabaya Friends or No Friends Cause...."Whats Goes Around Comes Around.."
 
....wana roho mbaya sana!!Wanamfanya mtu aamini ni marafiki wa kweli....wanaaminiwa na kuTREATwa kwa heshima na mapenzi kama marafiki alafu wanageuka na kumfanyia mwenzao kitu ambacho rafiki hawezi kufanya hata siku moja.Hata adui tu ataona aibu kidogo. Binafsi nimekua na bahati (mbaya) sana ya kukutana na watu wa aina hii....nadhani ntaanza kuhitaji watu waniombe urafiki kama. wanavyoomba uchumba na nichukue zaidi ya mwaka kuwachunguza na kujua ni watu wa aina gani kabla ya kuwapa sifa na cheo cha urafiki kwenye maisha yangu!!Kama na wewe uko hivi badilika maana sidhani kama mnapata faida yotote.

Lizzy,

Ukifikia hapo ndo utakuwa umeijua vizuri dunia unayoishi badala kutembea na misahafu iliyojaa nadharia kibao...Kwa ufupi sisi wa 1947 tunasema kuwa utakuwa UMEKUA!!
 
Cha maana ni sisi kutowatendea watu mabaya Friends or No Friends Cause...."Whats Goes Around Comes Around.."

Hapo ndo umerudi kwenye principle ya maisha yangu:
Love everybody, trust no body.
 
Sikumbuki kama nimewahi kuumizwa na rafiki ila nahisi nawapenda sana rafiki zangu kuliko wanavyonipenda. Pole liz
 
Hivi does it mean kwamba ukimuamini rafiki ndio anakubetray..... Mtu yoyote anaweza akakufanyia jambo baya, but it pains when it comes from a friend... Hata usipomuamini mtu anaweza akaku-stab in the back, akakusingizia, akasema uongo kuhusu wewe, akakuibia kitu chako n.k. the list is endless... Trust or no Trust...

Cha maana ni sisi kutowatendea watu mabaya Friends or No Friends Cause...."Whats Goes Around Comes Around.."

Hapo ndo umerudi kwenye principle ya maisha yangu:
Love everybody, trust no body. Love everybody inamaana kubwa sana ni silaha ya kutokuwatenda watu wengine.
 
....wana roho mbaya sana!!Wanamfanya mtu aamini ni marafiki wa kweli....wanaaminiwa na kuTREATwa kwa heshima na mapenzi kama marafiki alafu wanageuka na kumfanyia mwenzao kitu ambacho rafiki hawezi kufanya hata siku moja.Hata adui tu ataona aibu kidogo. Binafsi nimekua na bahati (mbaya) sana ya kukutana na watu wa aina hii....nadhani ntaanza kuhitaji watu waniombe urafiki kama. wanavyoomba uchumba na nichukue zaidi ya mwaka kuwachunguza na kujua ni watu wa aina gani kabla ya kuwapa sifa na cheo cha urafiki kwenye maisha yangu!!Kama na wewe uko hivi badilika maana sidhani kama mnapata faida yotote.

tatizo ni kwamba wadada na wakaka wa siku hizi wanakimbilia kuchachuana..... kitu amabacho ni sumu kwa mahusiano yasiyo na malengo... ww lizi uwa unachakachulika baada ya mda gani?????
 
Hapo ndo umerudi kwenye principle ya maisha yangu:
Love everybody, trust no body. Love everybody inamaana kubwa sana ni silaha ya kutokuwatenda watu wengine.

hao watoto kwenye hiyo avatar yako nimewapeeeendaaaa...
 
Dahhh we mtoto ndo nini
Tena hii my dear ..

Embu weka mguu wA kulia mbele, nawa
Mikono jifanye hujawaona ..usiwape muda
Wako wamekutenda achana nao.. nakupa pole
Na ninapenda kusema kila mtu ataonekana
Mtakatifi lakini maneno na matendo yao 0...
Haya mpenzi hiyo ni kamba moja a maisha
Mshukuru Mungu umeiruka...
Naenda upande wa pili kukutafuta..
 
Lizzy marafiki zako huwa wana kubetray sana, embu kaa chini na wewe ujiangalie upya labda kuna mahala unakoseaunaweza ukawa unaona unasalitiwa kila kukicha na marafiki, kumbe tatizo umelikumbatia mwenyewe, mwisho wa siku unajikuta huna rafiki hata mmoja sababu hukujua wapi unakosea, jaribu kuchunguza na hili lizzy. atukirudi katika hali ya kawaida ni kweli unaweza ukawa na marafiki kila kukicha wanakutenda wewe tu hadi unajiuliza una mkosi gani, nafikiri tuwe makini sana wakati tunachagua tuwe na rafiki wa aina gani, coz mwisho wa siku ndio inaishia kama hivi
Ni kweli kabisa gaga tusiishie kulaumu wenzetu tujiangalie pia tumefanya nini mpaka tunakosewa kila siku, na mtu mkosaji wakati mwingine anaweza ona hana makosa kumbe yeye ndio chanzo, pole lizzy, nakutakia uwe makini na marafiki zako, mie pia nina marafiki zangu kutwa huwa wana la kuongea juu yangu nimejiuliza sana nakosea wapi sijapata jibu, namwachia Mungu ndieanaeweza kujaji nani mkosaji
 
Back
Top Bottom