Karibu mzaramu halisi bila chenga, kwa maneno hayo hata usingejitambulisha tungejua tu ni mzaramu kwakwel, karibu sana jamvini ndugu yake mbwiga mbwiguke
Kwa mfano Ndo umeshakopeshwa then ukatokomea moja kwa moja hivyo vyeti vyako vitamsaidia nn muhusika aliyekukopesha, ukiangalia serekali ya sasa haitaji kuajiri watu kwa vyeti feki, pia hivyo vyeti sizani kama vitakuwa na Masada wowote hata ajira zenyewe hakuna, watu kibao wana vyeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.