Recent content by wejja

  1. wejja

    JamiiForums Tanzania Msanii Sterio kapoteza ndugu zake kwenye ajali ya moto

    Yes ndo huyohuyo chundabadi singasinga
  2. wejja

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa UDSM tu

    All the best makamanda.
  3. wejja

    JamiiForums Tanzania Kibo Complex ni ya nani?

    Au liliziwani chikete
  4. wejja

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Hahahaha.... Nimetania tu. Tutapata tu wote. Tarehe 14 february watatangaza na tarehe 1 March tupo mzigoni wote. Hakuna cha sayansi wala hechi kunani, wote tutakuwa mzigoni. We just stay tuned!!
  5. wejja

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Kama wewe ni mwalimu wa kiswahili na civics au history sahau. Only science teachers will be the first to be mentioned!!
  6. wejja

    JamiiForums Tanzania Kibo Complex ni ya nani?

    Ni ya ali kiba
  7. wejja

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Ashang'atuka tayari
  8. wejja

    JamiiForums Tanzania Mashairi ya Nyimbo mpya ya Diamond- Nasema Nawe

    Dedication kwa Chocolate flavour na Sina wema sepeto halichimbui madini
  9. wejja

    JamiiForums Tanzania Serikali kusitisha Ajira za Walimu ifikapo mwaka 2015

    Tupe source ya tetesi hii
  10. wejja

    JamiiForums Tanzania Msichana aongoza kwa ufaulu UDSM (4.8 GPA), Ana ndoto za kuja kuzaa watoto wasiopungua 7

    Kuna dogo mwingine kamaliza mwaka huu wa SoED naye ana 4.8 GPA. Sijui kwanini hajawa yeye. Anaitwa Emmanuel Daud
  11. wejja

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

    Mtoto wa kiume, mniache nijitume Kama matunda yangu yapo acha niyachume Nilishapita msoto tangu nilipokuwa shule Kama naungua na moto vile...... Kama ni kweli R.I.P mtoto wa mafinga dole south.
  12. wejja

    JamiiForums Tanzania Mbatia kamwe hachomoi Vunjo, labda Mmanga wa CCM asiwepo

    Dogo hata chuo hajamaliza anaanza kuutamani ubunge. Labda kwa sababu katiba yao inaruhusu
  13. wejja

    JamiiForums Tanzania Mbatia kamwe hachomoi Vunjo, labda Mmanga wa CCM asiwepo

    Kijana maliza kwanza degree yako ndo uje uongee na sisi. Najua mwaka wa mwisho mkandala atakushika na huta graduate
  14. wejja

    JamiiForums Tanzania UDSM, DUCE and MUCE: Shift from Unit system to credit system

    The esenseee of an enteteee hahahaha, missing babu maganga so much
  15. wejja

    JamiiForums Tanzania HESLB, mnatufanyia nini hivi?

    Kwani wakati unalipia M-pesa hukuletewa message ya uthibitisho? Maana hiyo msg ndiyo yenye transaction ID
Back
Top Bottom