Recent content by Wecer

  1. Wecer

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dhahabu na madini mengine (Gold and gemstones dealership business in TZ)

    Mbona hakuna jibu,hata mimi natamani kujua please ila nitajaribu kuipiga hio no hapo juu
  2. Wecer

    JamiiForums Tanzania Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

    Wish iwe hivyo,if not waeleze wazi kwanini hafungwi
  3. Wecer

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

    TOBAAA
  4. Wecer

    JamiiForums Tanzania Hawatafanikiwa kutuchonganisha na RAIS wetu kwa mbinu ya kumuua Tundu Lissu

    Hivi mtu akifatiliwa ndio anaweza kutaka kukuua? Tuweke akiba ya maneno Mkono wa serikali za duniani ukiingia hauachi alama za kijambazi..kuna kitu zaidi ya kile tunachokiona..wahusika mfanye kazi zenu.....hata kuuawa kwa yule mzungu wa pembe za ndovu...Tuiombe serikali iwakamate ,pia matukio...
  5. Wecer

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hizo training zipoje na ni lini? Tuambiane kama ni via whatup au venue ipo we want it
  6. Wecer

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mie nipo vizuri Finance ninanajua kuwa wapo speculators hasa nchi za nje.ila kweli Tanzania hii unaweza kufanya biasahra hiyo wakati kuna kama ka restriction kwenye mtu kuingia kununua stocks nje?? Najua yangu hii ni stock markets na wewe unasemea money markets...tell me more yaani umenifanya...
  7. Wecer

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka nikope 10millions niache kazi serikalini, ili nijiajiri

    Ukikopa dhamana yako ni nini,serikalini ukikopa ujue mshahara ni wao,wewe ukisepa unakuja kujikuta wanaidaka pesion yako ila with miaka miiiingi interest kubwa. Biashara ni ngumu mno la msingi omba kazi sekta binafsi ya ofsi unayotaka kufanya.Mfn ukifanya kazi benki unaweza kufungua...
  8. Wecer

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa mwana usalama wa Taifa

    Nafasi hizo sikuwahi kuzipenda uoga hasa nikiona sinema za 007 James bond zile daah,zamani zile jkt miaka ile waliomba watu tuende cadet, wengine walienda,among them wapo ambao ni Tiss sasa,chanel nyingi uanze kuingia via majeshi kawaida wanapotangaza then utaomba humohumo,watakuwa wamejiridhisha
  9. Wecer

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu

    Kwa muda Fulani tu.....hadi uchaguzi upya,na sidhani kama wananchi walimchagua huyo ila walimchagua Magu kwa kuwa walimtumaini na kumtangaza.Yeye ndio kaweka dira.Misimamo na uthabiti wa serikali hii ni mwenyewe Magu zaidi
  10. Wecer

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu

    Ulinzi wa Rais haupangwi na yeye,kauli na majipu anayotumbua,makaburi anayofukua ndio yanayowaweka wakuu wa vyombo kuona apewe ulinzi huo ambao ni mkubwa tofauti na waliotangulia ila kulinganisha na Duniani sie ni cha mtoto.Mfn. Obama alipokuja kulikuwa na gari inayotuscan wote tuliojirani na...
  11. Wecer

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

    Mbona umequote upuuzi waandishi hujui kuwa huandikwa kwa kupewa taarifa na mtoa taarifa kwa madhumuni Fulani?? Tanzania tupo juu sana nakubali ndio maana tuna majeshi congo na wamenyooka sana M26 kule.taarifa za idadi na aina huwa ni siri
  12. Wecer

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow: Waliochota kwenye Masandarusi watajwa, gari lililotumika kubeba ni la Ikulu

    HAKUNA KITU MBO MBONA NIMETUMA MTU AKANUNUE JAMANI
  13. Wecer

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow: Waliochota kwenye Masandarusi watajwa, gari lililotumika kubeba ni la Ikulu

    TUMPE SAPOTI JAMANI KAMA KWELI UNATAKA TUNYOOSHE NA MAMBO YOTE YAWE SAWA NCHINI KWETU SAPOTI NI KUMSIFIA SANA RAIS TUSICHUKUE MAPUNGUFU MADOGO KUWA NI ISHU. HUYU UZALENDO WAKE NA ALIOFANYA ANAWEZA,MSAPOTI HATA WATU WA UPINZANI UJUE MZIKI MZITO,HILI HALINA UCHAMA UNAWEZA KUKUTA MTU FAULANI WA...
  14. Wecer

    JamiiForums Tanzania Operation ng'oa Magufuli inakuja

    waamb waambie tu..unajua wamemezeshwa uongo wa kale kazee kao kuwa yeye ni safi baada ya kuwa nao
  15. Wecer

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya serikali 2017/2018 kuwa Trillion 31.6

    kuporomoka kwa soko la hisa leo inategemea nani ni key players wa soko hilo na kwanini hawaendei kule kupata fedha au kipo chanzo kingine cha kupata fedha.Hii hali ni ya muda mfupi sana ndio maana taarifa za habari kimataifa hutoa taarifa za matokeo ya soko la hisa kila saa,kuna a lot of...
Back
Top Bottom