Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

Nyie wenyewe na polisi wenu mmemjengea Lissu popularity kubwa sana kwa muda mfupi sana! Sasa hivi ukiitisha uchaguzi wa Urais na ukaweka wagombea JPM na Lissu, uchaguzi ukawa huru na wa haki bila vyombo vya dola kupendelea au kuhujumu upande wowote, ndio utajua kuwa nani ni nani!!!
Ahsante mkuu lkn nirejee maandiko yako kwamba hata yesu alipingwa tena hata nawatawala wajuu.. Baadae alirudi kusujudiwa.... Katika hili mungu atupe ufaham wakujua nani yupo na moyo wakweli kajitoa kwaajili ya wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtu wako angekuwa kweli na huo "moyo" ungekuwa umeonekana kivitendo kwa miaka yote 20 aliyokuwa serikalini! Yeye alikuwa sehemu ya tatizo lililo tufikisha hapa halafu anajifanya kushangaa madudu ya serikali zilizopita kana kwamba alikuwa anaishi sayari nyingine kabisa! Acha mahaba, fikirisha ubongo wako!
 
Kwa wale wenye uzoefu wa siasa za Chadema miaka 5 iliyopita kulikuwa na kitu kinaitwa intelijensia ya Chadema.

Intelijensia hii ilitumika kubaini "wasaliti " hususani wale wote walioonekana kunyemelea Uenyekiti baada ya kupata umaarufu wa kisiasa. Intelijensia ya Chadema ndio iliyowadhibiti akina Chacha Wangwe na ZZK pale walipotangaza nia ya kugombea uenyekiti hususan baada ya intelijensia kugundua endapo uchaguzi ungefanyika Kamanda wa anga "angepigwa".

Je intelijensia hii ya Chadema itafanikiwa kumdhibiti Tundu Lissu?
 
Hiyo ni nafasi ya kudumu ya Edo kila mtu anafahamu hilo ndani ya Chadema.
Kama Tundu ana mawazo hayo ayafute kabisa hatutaki vurugu.
Yeyote atakayethubutu kuchukua fomu ya urais 2020 ndani ya chadema zaidi ya Lowasa tutamfukuza uanachama.
TOBAAA
 
Lisu amejipatia umaharufu wa hali ya juuu kwa kipindi kifupi sana. Hisi kasumba zote zilizomkuta toka Magufuli ameingia madarakani zimemjenga kisiasa, kisaikolojia na Kimwili pia.

Hakika Lisu ni Tishio kubwa kwa uwepo wa Magufuli madarakani baada ya 2020.

Mfano ni hili tukio tu la jana. Limepata coverage kubwa kuliko hata hafla iliyofanywa jana ikulu ya kupokea Report ya bunge kuhusu wizi wa almasi na Tanzanite.

Binafsi nilishangaa kuona post iliyokuwa ikizungumzia tukio la lisu kupata views zaidi ya 100,000 ndani ya saa 1 wakati ile ya Mkuu wa nchi kupokea report haijafikisha hata 50k views mpaka sasa.

Hii inamaanisha nini..... LISU ANAKUBALIKA MARA DUFU KULIKO MAGUFULI.

‍♂️naenda zimbobo.
 
Tofautisho Kati ya shambulio la kutaka kuuwawa na habari ya raisi . Shambulio la Kifo ni lazima lichukue coverage kubwa tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa miaka 20 ijayo hakuna mtu ambaye ataweza kumfikia au hata kumkaribia umashuhuri Tundu Lissu. Kwanza ana advantage kubwa ya Umri miaka 49 tu, pili hana record ya rushwa yeyote, tatu anakipaji kikubwa sana cha akili kuanzia Ilboru miaka iyo ya 80's, mwisho ni kwa yaliyo mtokea hakuna Mtanzania yeyote kwenye siasa Tanzania ameonyesha uzalendo ya kutoa maisha yake pasipo ulazima kuliko lissu. Tujue kwamba Lissu angeweza kuwa millionea kwa kazi yake tu ya Attoney tofauti na wale Professor wa vyuo ambao walikuwa wamechoka sana kiuchumi. Tofauti na watu kama sisi ambao wengine tuna mazuri mengi lakini tunaishi dunia ya kwanza bila shida, wala risk kwa maisha yetu...... nampongeza sana true Hero mwana Ilboru mwenzangu
 
Najaribu kuimagine huyu mtetezi wa watanzania kama asingekuwa kapigwa risasi angekuwa ameshasema mangapi, kesi za uchochezi zingekuwa ngapi? Na angekuwa ameshawekwa ndani mara ngapi?

Kwa mbaaali naona kama kuna watu wamepumua kidogo

Hebu jaribu kutuwekea kero au jambo ambalo unadhani huyu mpambanaji angekuwa keshaliweka wazi au kuliongelea hadi leo (JUST IMAGINATION)

Naanza na hili
1. Angekuwa keshazungumzia uteuzi wa katibu wa bunge
2.....
3...
 
Back
Top Bottom