Recent content by wazabangah1

  1. wazabangah1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Tudokezee kidogo utamu wao uko wapi??
  2. wazabangah1

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure juu ya gari yako

    Hahaha nimecheka sana
  3. wazabangah1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Help

    Kwa mwenye uelewa wa hizi flat screen mbili, "Star x na hisense" Yaani kichwa kimegoma kabisa naomba msaada wa maelezo yatakayonishawishi kununua moja ya brand hizo tajwa. Mfuko wangu uko na 300K hivyo nahitaji sana kuwa na huduma hiyo, maana chogo nimechoka kwakweli.
  4. wazabangah1

    JamiiForums Tanzania BMW Mini cooper

    Mimi naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu na hawa kupatana hasa kwenye magari
  5. wazabangah1

    JamiiForums Tanzania Stay longer in action like a movie star, MRIDHISHE MPAKA BASI 18+

    Safiii very creative!!!
  6. wazabangah1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wakuu utamgunduaje mwanamke mweupe?

    Hahahahaaa nimecheka sanaaaa
  7. wazabangah1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wakati tunapata wenza mapepo bila kujua

    Umesema mkuu, hongera sana hakika umeona mbalii mno.
  8. wazabangah1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sitaki kujua kipato cha mke wangu?

    Hivii hii mifumo dume itaisha lini? Mi naona Kama mume kufuhamu kipato cha mkewe inapendeza kwani inakufanya ujue mahitaj ya nyumba na kwakiasi gani mnaweza kufanya vitu vya maendeleo kwa urahis zaidi Ila kila nyumba/ndoa inamipaka yake ila ni bora kuwa kitu kimoja na kunafaida mno kwa mume...
  9. wazabangah1

    JamiiForums Tanzania Diamond amezidi kujidhihirishia ubora wake dhidi ya Davido

    Fanyeni kuvote nasio kuendeleaa kumpambaa hapaa vote ndio kitu cha msingi kwasasa!
  10. wazabangah1

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Yetu macho.....
  11. wazabangah1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huyu binti anaweza kuwa amenipenda au ni hisia zangu ndo zinanituma vibaya?

    lakini kwa nini unatusumbua sisi? si umpigie umuulize hayo maswali? sasa sisi tukujibu kwani ndo tuliokupa namba? ebo? Hahahaaaaaaa hatariii
  12. wazabangah1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani ananitia majaribuni

    Hayaa mambo ya ma x ndio huwa yananifanya nichelewe kuoa, sasa mkuu embu Fanya huo ushauri anaomba mkeo we ungejiskiaje?? Acha hizo mkuu komaa na mkeo aisee usije kumletea maradhii.
  13. wazabangah1

    JamiiForums Tanzania Hiii ni kali

    Imekaa poa Sana haha
  14. wazabangah1

    JamiiForums Tanzania Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

    Hahahaaa jamaaa ni complicater we angalia majibu yake na maswalii utagunduaa kunakitu fulanii hivii, nimejaribu kugongana nae humu ndani ila nimeshamsomaa huwa namkimbiaa Anaatumaswalii twingii sanaa tuwa ajabu ajabuu.
  15. wazabangah1

    JamiiForums Tanzania Serikali tafuteni alipopelekwa Mtanzania Jack Cliff

    Ndio nataka hio hio NINI. si mbaya Sana
Back
Top Bottom