Pamoja na fuel consumption yake!Nikiwa katika muendelezo wa kudunduliza hela ya kununulia my ever dream ride BMW mini cooper, naombeni msaada wa more details kuhusu hii gari (wenye kufahamu) ikiwemo upatikanaji wa spare
Asanteni
Natanhuliza shukrani!
Nikiwa katika muendelezo wa kudunduliza hela ya kununulia my ever dream ride BMW mini cooper, naombeni msaada wa more details kuhusu hii gari (wenye kufahamu) ikiwemo upatikanaji wa spare
Asanteni
Natanhuliza shukrani!
. mkuu kuna siku niliichek kwe mtandao wa BEFORWARD, nikacheki na tra calculator total ikaja kama 14m iv!Mkuu usingalie Fob price peke yale angalia ushuru TRA mini cooper ni gari za maika ya karibuni latest ushuru wake uko juu.
Ni gari nzuri sana kwa sisi wamiliki wa BMW nakuahidi hujatujia kumili bimmer its a monister power, luxury and speed.
Daah kweli watu tuna dream tofauti, mini Cooper? All the best chief
Hapo tuko pamoja chiefWewe una mawazo kama mimi Mkuu. Kuna mtu humu aliniomba ushauri kununua hii, nikamshauri hii si gari ya kuendesha katika jiji analoishi.