Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
wanavyokazana kumchukia mimi ndio nazidi kumpenda sio kwa raha unazonipa chibu wangu, penda wewe milele daima
Kama msanii bora angekuwa anapimwa na views za youtube....yule Psy wa Gangnam style ni msanii bora kuwahi kutokea Duniani..
Kama msanii bora angekuwa anapimwa na views za youtube....yule Psy wa Gangnam style ni msanii bora kuwahi kutokea Duniani..
Video ya bongo inayoongoza kwa views nyingi YouTube ni sugua gaga,sasa tuseme ni bora kuliko diamond!
Kama msanii bora angekuwa anapimwa na views za youtube....yule Psy wa Gangnam style ni msanii bora kuwahi kutokea Duniani..
kuna harambee ya kumchangia kiba ili amalizie nyumba yke aepuke manyanyaso ya kufukuzwa kwenye nyumba za watu tunomba mchango wako.Tena alivunja record YouTube kwa video yake kuwa na viewers wengi zaidi ya billion.
Tena alivunja record YouTube kwa video yake kuwa na viewers wengi zaidi ya billion.
Team kibakaz watalamba ndimu sana.