Hivi wakuu utamgunduaje mwanamke mweupe?

njia rahisi tafuta karatasi nyeupe (ream paper) tembea nayo then utembee nayo mpaka utakapompata ambaye anafana rangi na hio karatasi

Njia ya pili ni ngumu kiasi ila ukifuata maelekezo vizuri utampata huyo mweupe

Ukitoka hapo nyumbani kwenu fuata hio njia ya kulia usikate kulia au kushoto nyoosha moja kwa moja mbele utaona nyumba yenye geti jeusi hapo kata kushoto fuata hio njia halafu kata kulia tembea kama hatua kumi halafu kata kushoto mbele utaona watu wamekaa wasalimie halafu endelea na safari yako kunja kushoto utaona uchochoro sasa usifuate huo uchochoro we nenda kulia utakuta kidaraja vuka halafu kata kushoto mkono wako wa kulia utaona kibanda cha m-pesa usikifuate we nyoosha moja kwa moja mbele utaona nyumba yenye geti la pink hio iache nenda mbele zaidi kata kushoto utaona muembe mkubwa kata kulia nyoosha moja kwa moja utaona nyumba nyeupe yenye geti jeupe humo ndani kuna waschana weupe
 
Angalia vidole vyake vya mikono ukiona Kuna weusi kwa mbaliiii basi kajichakachua,angalia ankles za miguu na mikono ukiona weusi tu stuka hapo kekundu.
 
Natural hana vidoti, mkorogo kaaja vidoti. Natural ni mweupe kote hadi nanilii, mkorogo ni mweusi kwenye kipepsi, magoti maungia ya vidole na sehemu za kucha inapoingilia. Natural ana harafu ya ngozi ya kawaida mkorogo hunuka vibaya. Natural hafinyi macho juani mkorogo hawezi kuangalia juani. Natural anaweza tembea juani bila kujifunika mkorogo hawezi kwa sababu hubadilika kuwa kama jini. Natural anajiamini mkorogo hajiamini. Natural ni mkavu mkorogo hutokwa na jasho ovyo. Natural milele yuko hivyo mkorogo akikaa mwezi tu bila mkorogo hurudi kuwa mweusi mwenye rangi mbili.

sasa nimeanza kupata picha huwa nashindwa kuwatambua kabisa
 
njia rahisi tafuta karatasi nyeupe (ream paper) tembea nayo then utembee nayo mpaka utakapompata ambaye anafana rangi na hio karatasi

Njia ya pili ni ngumu kiasi ila ukifuata maelekezo vizuri utampata huyo mweupe

Ukitoka hapo nyumbani kwenu fuata hio njia ya kulia usikate kulia au kushoto nyoosha moja kwa moja mbele utaona nyumba yenye geti jeusi hapo kata kushoto fuata hio njia halafu kata kulia tembea kama hatua kumi halafu kata kushoto mbele utaona watu wamekaa wasalimie halafu endelea na safari yako kunja kushoto utaona uchochoro sasa usifuate huo uchochoro we nenda kulia utakuta kidaraja vuka halafu kata kushoto mkono wako wa kulia utaona kibanda cha m-pesa usikifuate we nyoosha moja kwa moja mbele utaona nyumba yenye geti la pink hio iache nenda mbele zaidi kata kushoto utaona muembe mkubwa kata kulia nyoosha moja kwa moja utaona nyumba nyeupe yenye geti jeupe humo ndani kuna waschana weupe

Hahahahaaa nimecheka sanaaaa
 
Angalia vidole vyake vya mikono ukiona Kuna weusi kwa mbaliiii basi kajichakachua,angalia ankles za miguu na mikono ukiona weusi tu stuka hapo kekundu.

Mara nyingi weusi wa mikono hutokana na sugu kwa ajili ya kufua siyo kila mwenye weusivpande hizo kajichubua
 
Back
Top Bottom