Recent content by wayzee

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Ukweni wanataka kunipangia tarehe ya kuoa wao ya kwangu wameikataa wakati nishawaambia wazazi wangu

    Sasa husomi stor nzima unawahi kucomment...mbona kaeleza[emoji51]
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BetExplorer Soccer Stats & Soccer Odds - results, tables, odds comparison
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu tafadhali sana anayefahamu jina la hii web anisaidie maana kuna sehemu inatumwa lakn ukiomba link hupati wabongo bana!!!!
  4. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Kwa mawazo yako hayo ...utasugua sana ...hapo 27...utafika had 45...shubamiiiit..
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

    Kwa taarifa yako huyo mama yumo humu ...sasa utakinywea ...nenda kampe mnatane[emoji28][emoji28][emoji28]
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu binti kanidhalilisha mno! I will revenge

    Eti ata kamojaa...mkeo anakupa vingapi huridhiki...tubu mkuu
  7. W

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NAOMBA UTARATIBU ..MFANO MIE NIMENUNUA NYUMBA LAKINI BAADA YA MIAKA KADHAA TANESKO WAKAGUNDUA NYAYA ZAO ZILICHUBULIWA KWA MAANA YA KITAMBO KUNA MTUMIAJI AMEWAH KUHUJUMU TANESKO .SASA CHA KUSHANGAZA NAAMBIWA KULIPIA 480.000 ETI NI GHARAMA ZA UKAGUZI NA KUWEKA WAYA MWINGINE ..KWA HALI ILIVYO...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Msaada tatizo la mabaka kwenye ngozi

    Wakuu poleni na majukumu...naombeni msaada huyu dogo kaenda hospital lakn dawa alizopewa hazijamsaidia hali bado inaongezeka kwa kas...msaada tafadhari
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri. Ntaachaje kupiga punyeto.?

    Rahisi sana paka pilipili kwenye mikono muda unaopata hamu
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu kwa yeyote anaejua chochote kuhusu hii app tafadhali atushirikishe maana nimejaribu kuifuatilia mitandaon inazungumziwa kuleta utajiri kwa watu... Naomba kuwasilisha
  11. W

    JamiiForums Tanzania Almasi ya Bilioni 32 inayodaiwa kukamatwa Uwanja wa ndege Dar ni Uongo wa karne!

    Akili yako imelala amka...kama ni kilo 19 ndo kakokotoa pale kwamba thamani itapanda sasa na kuwa trillion kadhaa huko Sent using Jamii Forums mobile app
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu mkubwa bora Simba na Yanga hazikucheza dhidi ya Everton kwani nina uhakika wa 100% kwamba.....

    Mwalimu wa bila malipo...mnakeraaaaaaa we wenzako...kazi kutafuta tu michapio Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

    Hii kitu ni serious lakini nimesikitishwa na comment za watu..ebu wewe ulie comment upuuzi jaribu kuvaa uhusika uone..!!!! Brother ushauri autofautiani kabisa na wa scorpion girl..Mungu atakujaalia uzima..
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya Magroup ya Whatsapp ni hatari sana kwa Wanandoa na Wachumba. Nimeshuhudia mambo ya Kutisha

    Mtoa mada big up sana Mchumba wangu ni mpole sana nilipogundua point anazochangia kwenye magrup yao ikanisaidia kumjua yeye ni mtu wa aina gani ...nimegundua mdomo wake ni mchafu anasema matusi hatari na nimemuogopa na sijaamin kama ni yy
  15. W

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kula like na wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] sikuwa na mpango wa kucheka...haya nipate like na mimi
Back
Top Bottom