mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,355
- 23,084
Ila kigezo cha weupe umefiti?Hahahaha,.sina digirii.
Ila kigezo cha weupe umefiti?Hahahaha,.sina digirii.
Ni mweupe balaa, nitakutumia picha yake.Ila kigezo cha weupe umefiti?
Ni mweupe balaa, nitakutumia picha yake.
acha kulisha watu tango poriNikutumie wapi?![]()
![]()
fanya hvyo ili nijiridhishe
Unakataa asili yako?![]()
![]()
acha kulisha watu tango pori
Sawa mkuu subiri nakutumia![]()
![]()
Nitumie pm
Anakutumia za Inna huyoooo![]()
![]()
Nitumie pm
Umri hauongopi...! Ulio kula nao ujana umewaacha wapi??Mimi natafuta mchumba awe mweupe mrefu wa stani awe na elimu nzuri i mean degree nakundelea.
Umri 36 - 50 hata kama unawatoto mimi sawa tutatunza.
Awe mcheshi ila sio kuzidi.
Awe na kazi nzuri.
Awe muelewa mstaarabu akubali kubadilika.
Asiwe anapiga .
Mimi ni mkristo umri 27
Kama upo serious ni pm
Wenye hasira msinipm
Aaah kumbe unanicheka eeh na Giza langu?![]()
![]()
umesahau ulinipigia kwenye video call