Naomba ushauri. Ntaachaje kupiga punyeto.?

Naomba ushauri. Ntaachaje kupiga punyeto.?

"Set" akili yako kuwa sasa punyeto basi.... !!

Kila jambo linawezekana ukiwa na "determination" ngumu isiyo ya kawaida.
 
Mim kama mwanasheria mkuu wa CHAPUTA napinga vikal maamzi unayo taka kuchukua... Kidum CHAPUTA
 
Mkuu pole sana hakuna kinachoshindika na kuachwa? tatizo umejiendekeza wewe mwenyewe, yaani una mpenz alafu bado unakomaa na punyeto si umelogwa wewe? mkuu cha kufanya nuia kuacha kupga punyeto, pili ondoa kabisa fikra kwamba utakuja kupiga tena punyeto, tatu mtazame mpenz wako kuwa ndio kila kitu kuhusina na starehe yako. kaza moyo mkuu yaan kaza moyo kupita maelezo ikija fikra ya punyeto yaaan ilaaan na uichukie ukishindwa na hapo bas nakupa ushauri ambao kwa hakika hutapiga tena punyeto. unajua ni kufanya nini? kata na ondoa viganja vyote viwili vya mikono yako uone kama utapiga tena punyeto
 
SASA TEAM YA UNDER 20 HUKU CHAPUTA TUTAIPATAJE UKIJTOA? Wakati NINYI NI VIONGOZ WA BDAYE WA CHAPUTA NA TUSHAFANYA SUCCESSION PLANNING? AHAHAHA
 
Dawa pekee ya kuacha punyeto ,,
Tongoza demu ambae hana siri yani chochote yeye hafichi anatangaza kwa watu ,
Hlf nenda nae kwenye mechi aibu itakayo kukuta huko na atakavyokutangazia ,,ndio utajua jinsi gani ya kuacha punyeto hlf pia kua busy usiwaze sana huo upuuzi utakugharim
 
Nana umri wamiaka 24 sasa. Tangu nipo kidato cha nne mwaka 2010 nilianza kupiga punyeto. Kiukweli imeniathiri sana. Ninae mpenzi but nashukuru mungu ninamridhisha vizuri tu. Lakini mm nikitoka hapo naingia bafuni kukamilisha starehe yangu kwa kupiga punyeto.
Naombeni ushauri wadau nifanyaje maana nimechoka mchezo huu mchafu.?
Epuka kua na kuangalia picha chafu kwenye simu yako pia kama unampenzi unafanyeje tena punyeto? Unakua huridhiki au?
 
kwanza niambie....mbunye na njyeto ipi tamu????ntakushauri baada ya kupata majibu yako......kamua baba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom