😂😂😂 Tatizo ni kwamba huyo Mungu ni mshikaji wao, yaani bila kiwataja hao masela wake,anakutosa hakujibu wala nini 😭 Lazima uwataje hao jamaa ndio naye eti anakujibu 😂hakuna njia ya mkato.
Nalog off Z
Yaani hizi dini zimetuvuruga kweli kweli,mkristo kwenye maombi yake lazima autaje mzimu wa wayahudi (kwa jina la yesu) Kwa waislamu ndio balaa inabidi uutaje mzimu unaoitwa Muhammad halafu sio pekee yake uwataje pia masela wake,mpaka mababu zake
( allahuma swali ala Muhammad,waala alih...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.