Recent content by Warlock

  1. Warlock

    Serikali imejibu kuhusu chaneli za nyumbani kurushwa bure

    Hili jambo lilishawahi kuuliziwa hapa JF mara kadhaa. Mfano wa thread iliyoulizia >> Kero: TCRA mlisema local channel ni bure mbona zinalipiwa?
  2. Warlock

    Kero: TCRA mlisema local channel ni bure mbona zinalipiwa?

    Hatimaye leo Serikali imetoa majibu >>> News Alert: - Serikali imejibu kuhusu chaneli za nyumbani kurushwa bure
  3. Warlock

    Yaliyojiri kwenye Warsha ya Wadau wa TEHAMA iliyoandaliwa na Jamii Media na CIPESA

    Unamaanisha Jamii Leo? Kama ndiyo, haikuisha. Tumemaliza msimu wa kwanza, tutarejea kwa ajili ya msimu wa pili tukiwa bora zaidi.
  4. Warlock

    Yaliyojiri kwenye Warsha ya Wadau wa TEHAMA iliyoandaliwa na Jamii Media na CIPESA

    Hapana. Warsha hii haionyeshwi na kituo chochote cha TV (mubashara).
  5. Warlock

    Je, unaishi Dar? Una mtoto wa umri kati ya miaka 3 na 15? Mlete kwa Jakaya M. Kikwete

    Naam, bila shaka wadau wenzetu kutoka humu Jamvini watahudhuria kwa wingi.
  6. Warlock

    Nichane Day

    Tunapokea jumbe nyingi sana na tunajitahidi kuzipitia zote.. Ila tutaongeza kasi mkuu.. Nafasi za umod zitatangazwa endapo tutahitaji kuongeza nguvu, usijali kabisa..
  7. Warlock

    Nichane Day

    Kweli mkuu umeamua kutuchana! BAN hutembea kwa wale wakorofi wanaovunja sheria za jamvini kwa makusudi licha ya wengi wao kuonywa mara kadhaa... Hata hivyo kuna kukata rufaa unapoona adhabu uliyopewa haistahili (support@jamiiforums.com). Ila na mie ngoja niwachane kidogo baadhi ya members...
  8. Warlock

    Exclusive Interview - Mada: Mahusiano ya kimapenzi sehemu ya kazi

    Interview nzuri. Maswali na Majibu (Q&A Session) ilikaa vyema sana. Hongereni sana wakuu kiwatengu na atoto na wote mlioshiriki. I am impressed! Keep it up.
  9. Warlock

    Hizi ndizo akaunti 50 za kufuata unapokuwa Twitter, JamiiForums haikuachwa

    Mkuu utajuaje? Labda sina akaunti kule, au kama ninayo sio maarufu kama hao waliotajwa... Wewe ni follow tu humu nipo 24/7... Lol!
  10. Warlock

    Mwili wa mwanamke wakutwa guest baada ya kutelekezwa

    Tayari imesha-editiwa mkuu. Asante.
  11. Warlock

    Makapuku Forum

    Ndugu Makapuku, Malalamiko yenu kuhusu suala la Likes na mengineyo yanafanyiwa kazi. Hii ni changamoto ya JF nzima kwa sasa. Na niwakumbushe tu, hizi harakati za 'Ukapuku' ziwe ni kwa nia njema na msisahau kuzingatia Sheria za JF. Nawatakia kila la heri.
  12. Warlock

    Hakuna mwanamke ninaye mchukia kama mama yangu

    Mungu atusaidie tu, manake kuna wazazi wengine kuwabeba ni Neema. Wana misimamo hao!!!!
Back
Top Bottom