Recent content by warea

  1. W

    JamiiForums Tanzania VAT juu ya ununuzi wa umeme wa TANESCO

    Naomba kuelimishwa juu ya mahesabu ya kukokotoa VAT kwenye mauzo yenu ya umeme wa TANESCO. Nimeona kuwa TANESCO wanakosea kukokotoa VAT kwenye kiasi anacholipa mteja. Badala ya kukokotoa VAT kutokana gharama ya umeme alionunua mteja, TANESCO wanakata kwanza VAT halafu inayobaki ndio wanaigawia...
  2. W

    JamiiForums Tanzania NIDA wanauza nchi yetu kweupe kabisa

    Vitambulisho vya NIDA sio uraia. Hivyo ni vitambulisho kwa ajili ya wakazi wote - wenyeji na wageni. Hata wewe ukienda nchi nyingine, ukapata permit una haki ya kupewa kitambulisho kama vya NIDA. Usijali sana.
  3. W

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili imedanganya kuhusu nchi wahisani kurejesha misaada BAADA ya hotuba ya Jakaya Kikwete?

    Wahisani waliahidi Dola milioni 500, Dola bilion 84 mbona ni nyingi sana!!
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A very touching story, never judge anyone

    Ndivyo wanavyofanya madaktari wetu, ila wanaambulia kulaumiwa na kujeruhiwa. Wanadai mazingira mazuri ya kazi ili mgonjwa aweze kuhudumiwa vizuri na apone. Wao pia wana familia zinazohitaji huduma hizi na huduma zingine Serikali yetu haijui kuwa madaktari wasipokuwa na mazingira mazuri wanaweza...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana kabisa sio 'Inside Job' bali ni 'Smear Campaign'?

    Subiri siku yako ifike kama hutataka watu wote wakuhurumie!
  6. W

    JamiiForums Tanzania Human Rights' Press release on Dr Ulimboka

    Andikeni hilo tangazo kwa kiswahili wajameni hata wengine ambao hatukupata waalimu wa kiingereza tujue mnachosema
  7. W

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hukumtendea haki Pinda kumtaka ajiuzulu

    Mungu amtazame mgonjwa wako, maana yeye si mwanadamu.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mhe naibu waziri wa mawasiliano....

    Kwani hujui magamba wanawatumikia wawekezaji? MAWASILIANO ni voda, airtel, tigo ... akitoka hapo anaenda kuwafanyia mpango TCRA au TIC KILIMO KWANZA ni wawekezaji toka magharibi na mashariki, na kuwaunganisha na TIC MADINI, UTALII ni hivyo hivyo Shule na vyuo vyetu hakuna anayehangaika navyo...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Orodha ya baadhi ya makampuni na Ardhi iliyonyakuliwa na wawekezaji wa kigeni

    Tumeacha kulinda aridhi yetu, Tumewapa mamlaka watu wanaopenda pesa zilizoko benki na za wageni kuliko ardhi aliyotujalia mwenyezi Mungu.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo na Serikali hawataki Kipengele cha Dini kuingizwa ktk Sensa?

    maana yake wakristo sio wabaguzi!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yaagiza faru toka Uingereza!

    Hii ina maana gani? Ina maana faru wameisha kabisa kwenye mbuga zetu? au Hao faru ni aina nzuri zaidi? Isije ikawa kama samaki wa ziwa victoria ambao wamemaliza aina za samaki wengine!
  12. W

    JamiiForums Tanzania MARTIN LUTHER KING, Jr NA UKOLONI

    Love them!
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

    Nakuunga mkono. Nashangaa MM anadai kuwa wabara hawajawahi kukataa muungano huu uliopo. Kundi la wabunge wa G55 miaka ile ilikuwa inadai nini? Bora kila nchi iwe na serikali yake ndipo tuwe na serikali ya muungano. Suala la muungano lingejadiliwa kwa kirefu kama watu wote, bara nza visiwani...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

    Ama kweli CCM imechoka kama mzee. Kimekuwa chama cha mtu moja - Nape. Wamebaki kufuatilia CDM wanafanya nini ili nao waige. CDM wakianzisha Vua gamba Vaa gwanda, nao wanafeki, CDM wakifanya mkutano mahali, nao watajitahidi wafanye. CDM wakienda vyuoni nao wanaenda. Nape ona aibu, kaa na wenzako...
Back
Top Bottom