Kwanini Wakristo na Serikali hawataki Kipengele cha Dini kuingizwa ktk Sensa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Wakristo na Serikali hawataki Kipengele cha Dini kuingizwa ktk Sensa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Jun 18, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanabodi wenzangu.

  Kwanini serekali na makanisa yanapinga Kipengele cha dini ktk sensa ?
  Hivi kweli linaweza likaigawa Taifa?

  nasikia kila mwaka serekali inatoa fedha kwa ajili ya dini ya kikiristo kuendesha miradi yao kama Hospitali, shule na Hoduma za maji kwa ajili ya waumini wakiristo waliopo tz.

  Mfano hai wa hili ni ule mkataba wa mwaka 1992 ujulikanao kama; “Memorandum of Understanding between Christian Council of Tanzania and Tanzania Episcopal Conference and the United Republic of Tanzania (MoU)”.

  “Sisi tuliotia saini katika MKATABA HUU WA MARIDHIANO; ambao ni Makanisa chini ya Baraza la Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) (ambao hapa watajulikana kama “Makanisa”) kwa upande mmoja na Serikali ya Muungano wa Tanzania (ambayo katika mkataba huu itajulikana kama “Serikali”)… kwa ajili ya Serikali na Makanisa katika kuendeleza sekta ya huduma za jamii, kwa lengo la kupata fedha, kuratibu, kuwezesha, kuboresha, kupanua na kukarabati huduma hizi kwa ajili ya manufaa ya wananchi wa Tanzania”.
  Jee hii nayo sio ubaguzi na kuligawa taifa?Kweli kanisa litakubali kutumia pesa kwa ajili ya maendeleo ya waislam?
  Endapo waislam watasema hii inatosha na inatosha na serekali istishe fedha za umma kugaiwa dini moja. jee amani itakuwepo?
  Au umoja na mshikamano huwa kwa dini moja kumzidi dini nyegine kwa matumizi ya fedha za serekali yetu?
  sasa kama serekali itoa pesa kwa ajili ya kanisa kwenye mashule yao. hizi peesa za bajeti ya Wizara ya Elimu na wizra ya afya inafanyiwa nini? Hivi kweli kanisa litakuwa na moyo kutoa pesa wanazopewa na serekali kutoa hoduma za kwa jamii ya kiislam? Mifano midogo tu hapa tunaiona linapokuja swala la msingi makanisa yanapinga. yatakubali kutoa fedha kwa ajili ya maendeleo. AU TUNAPIGWA CHANGA LA MACHO?
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0


  unapoanzisha thread uwe na ushahidi wa kutosha siyo kuleta udaku na uchonganishi hapa. serikali yetu haihudumii wananchi wake kwa dini zao hilo naomba ulijue kabisa.
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Wanapinga sababu wana Lao jambo!!
   
 4. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mapadri na maaskofu wao wanajua idadi ya watu wao.sijasikia padri au mchungaji au sikofu anasema waweke au wasiweke maana idadi ya waumini wanaijua.hata nyie mkitaka kujua ni rahisi tu hesabuni waumini wenu alafu ili kujua asilimia mtachukua idadi ya wote itakayotolea na tume ya takwimu alafu mtajijua ni asilimi ngapi.HIVYO KUSEMA MAASKOFU NA MAPADRI HAWATAKI KIPENGELE KIWEKWE WAKATI SIJASIKIA COMMENT YA ASKOFU YEYOTE UNAKUWA HUWATENDEI HAKI.au kwa kuwa wako kimya?
   
 5. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwanini wakatae wakati kila kitu kinajionyesha?
   
 6. s

  slufay JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Na asiye na dini
   
 7. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Shule na hospital zinahudumia wananchi wote bila kujali dini zao nyie endeleeni kujenga madrasa mtengemee serikali iwaunge mkono.
   
 8. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  We kafuge ndevu,uvae kaptula fupi,ukae barazani upige umbea.Kipengele cha dini hakina manufaa yoyote katika lengo la sensa. Kwani nyie simfanye sensa yenu wenyewe kama mnataka kujua mko wangapi? Alafu mtuambie wangapi mmesoma elimu ya kidunia na wangapi wafuga ndevu tu!
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Habari za misikitini hizi za maimamu wapenda ubwabwa......Pesa za Magaidi wa UAmusho zimetokea wapi?
   
 10. A

  Aaron JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,121
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  in fact mkuu.. hawa wa2 bado nawashangaa hvi hawaoni jinsi mashirika ya kidini yanavyo changia maendeleo ya taifa... mfano. kanisa katoriki lifunge huduma zake zote cjui nchi yetu itaishia wapi,? makanisa ya kikiristo ndo yanamiliki mahospital,mashule,vyuo..!! wakifanya vyema ktk mitihani eti wanapendelewa..!
   
 11. MWILI NYUMBA

  MWILI NYUMBA JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nchi nyingi zaidi duniani kipengele cha dini katika sensa huwa kinajumuishwa,kwa upande wangu sioni tatizo lolote kama sensa ya mwaka huu itajumuisha kipengele hicho ili kuepuka manung'uniko ambayo badala yake ndiyo huenda yakawagawa wananchi kwa upande fulani wakahisi hawatendewi haki!!
   
 12. rugumisa

  rugumisa Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizi topic za udini zinaniboa.kila siku mnalalamika mou,mou.jengeni na nyinyi hospitali za rufaa kama kcmc na bugando!na pesa mnazo?mnaboa bana kama mnadhani kuwa wakristu wanapendelema badilisheni dini muwe wakristu.maisha sio tambarare bana.mwenzenu Agha Khan wa dhehebu la kislamu la islaimi huwa halalamiki wanajenga mahospitali,uyuo uikuu na mahoteli vyenye qualities za ukweli.
   
 13. B

  Bob G JF Bronze Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Uelewa Mdogo wa waislam wengi umewafanya wajenge chuki ya kijinga na wakristo. Hospitali za Rufaa Kcmc, Bugando ni mali ya CCT na TEC, Hospitali nyingi Teule za wilaya ni mali ya CCT na TEC, zahanati nyingi Tanzania zinamilikiwa na CCT na TEC, Karibu 80% ya shule zote kabla ya Uhuru na Baada ya Uhuru zilimilikiwa na CCT na TEC,Na mpaka sasa CCT na TEC ndo wamiliki wa vyuo vikuu Tanzania, Ukienda Vijijini TEC na CCT wanatoa huduma za maji, umeme,na Ujenzi wa Vyuo na Barabara, Huduma za TEC na CCT zinatolewa bila ubaguzi wa Dini wala Rangi ya mtu, waislam wanatumia sawa na watu wengine wote, Kazi zote hizi zinazotolewa na TEC na CCT zilitakiwa zitolewe na Serikari ya CCM. imeshindwa kuwahudumia watanzania ikaamua kuwapora TEC na CCT ili na ninyi waislam mtumie. Hivi kuna ubaya gani kwa serikali kutoa ruzuku kwa Taasisi hizi zinazo hudumia watanzania wote bila ubaguzi? Haya waislam hawakukatazwa kujenga shule na Hospital ili nao wapate Ruzuku hii, Kinacho nisikitisha waislamu wanatumia huduma hizi bado wanalalamika. kweli bora umfadhili mbwa anaweza akakulinda na si binadamu. toka Mkapa awape majengo ya Tanesco morogoro kiwe chuo kikuu, kimebaki hichohicho na hakuna mipango ya kuongeza kazi kulalamika 2. sasa karibu kila Dhehebu la kikristo lina miliki vyuo vikuu zaidi ya kimoja na waislam wanaotafuta elimu Dunia wanasoma wenye kulalamika hawasomeshi, kweli elimu ya mjinga ni Matusi. Ingekuwa busara waislam wakawashukuru wakristo kwa mchango mkubwa mno wanaotoa kwa umma wawa Tanzania badala yake imekuwa ni chuki hii ni ajabu sana.Na hii sensa Wakristo wanajua umuhimu wake na ndio maana hawawezi kupinga sensa na hata idadi ya wakristo inajulikana kwakua kila jumapili wanahesabiwa. Hakuna mtu makini anaeweza pinga kuhesabiwa. hata wale wanaopinga utasikia wanasababu za kizamani (mila) Na Hata kama sensa itakuwa ni lazima mtu ataje Dini ya ke kabila lake na mengine mengi ya kipuuzi hayawezi kuwafanya wakristo wakatae kuhesabiwa sensa ni mali ya serikali na serikali haina Dini
   
 14. w

  warea JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maana yake wakristo sio wabaguzi!
   
 15. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Mimi nalitazama suala la dini kuingizwa katika sensa kuwa halina umuhimu kwani mwisho wa siku takwimu itakayopatikana haitakuwa sahii.

  Mfano hai iwapo ulisema kigoma inawaislamu 20,000 mwezi wa 5, basi leo hii sio hao tena kwani tulienda kufanya injili kuanzia mwanzo wa mwezi wa 6 na waislamu wastani wa watu 3,000 waliokoka.

  Kwa mfano hai hapo juu ni dhahiri hakutakaa kuwe na takwimu sahihi za dini as long as watu wanabadili dini kila siku kwenye mikutano ya injili hadi tanzania yote itakapokuwa kwa Yesu
   
 16. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ujinga wako na aliyekutuma upo hapo kwenye red
   
 17. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  waislam bwana huwa hamishi choko choko ila komaeni tu one day mtafika...
   
 18. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Sensa ni kitu muhimu kwa maendeleo ya wananchi. Umuhimu wa sensa ulionekana hata kipindi cha Yusuf na Maria kurudi nyumbani kwao kuhesabiwa wakati wa sensa!
   
 19. b

  bodachogo Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umeanza kwa kuandika "nasikia" kwa hiyo haujafanya utafiti basi utakuwa ulidanganywa, fanya utafiti ndo uje kuandika upya, vitu vya kusikia sikia vinapoteza uhalisia....
   
 20. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Nchi nyingi zaidi duniani zikiwa na kipengele hicho na sisi ndo tuwe nacho?Mktioa sababu za kwanini hizo nchi zina kipengele hicho na kwanini sisi tuwe nacho ndo mtaeleweka,si kusema tu kwasababu mataifa mengine yanacho.Siyo tunaiga tu,ndo tatizo letu kutoshirikisha ubongo.Wekeni sababu za kwaniini tuwe na kipengele hicho,halafu twende hoja kwa hoja.
  Mko sana na double standards wakuu,hayo mataifa mnayotaka tuyaige,mengi yake hayo mnayoyaita ya wagalatia.
  Kama wote tunakubaliana kwamba mwarabu na mzungu walikuja kututawala na kutusokomezea dini zao,baada ya vita vyao vyote vilivyopita na hadi sasa.Mwarabu na uislam wanaelekea kushindwa na mzungu na ukristo.

  Kama waislam wa tanzania wataendelea kufanya wanayoyafanya,siyo siri wanajiumiza,na waarabu ni wanafiki pia kama wazungu tu,watakutumieni sana tuu!Tatizo na wao wanatumika na mzungu,kumbe hata ndani ya dini yao kuna migawanyiko,wanagombea madaraka na dini inatumiwa na kila mmoja kuhalalisha kumwua mwenzake!

  Nina uhakika hata taifa letu lingekuwa na waislam watupu bado kuna uwezekano wa kugawanyika na chuki juu! kama na nyie mnataka vita,hakikisheni kwanza mwarabu anamshinda mzungu,otherwise mtatwanga maji kwenye kinu.

  Ndo ukweli,mngejifunza kuutumikia utaifa kwanza kwa vitendo badala ya maslahi ya mabwana zenu waliokuleteeni dini.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...