miaka 42 unakaa kwa dada yako then unamlaum shemeji yako kwa kitu ambacho ni chakawaida kabsa coz hao niwanandoa! akufukuzaye hakwambiii toka kwaiyo jiongeze mwenyewe wamekuchokaa
asanteee kwa maelezo
mi nilipima kwa kipimo cha Endoscopy but sijajua sasa vimesababishwa na nini? na doctor hakunipa maelezo zaid,alinambia tu ninavidonda vya tumbo na nikapewa dawa tu za kutuliza maumivu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.