Jinsi ndoto yangu ilivyoanza kusuasua

Jinsi ndoto yangu ilivyoanza kusuasua

Mkuu nenda hospital kwa maelezo yako hiyo Ni brain tumor kabisa hakika kafanye CT scan au MRI lazima tatizo lako litaonekana tu kama VIP waoutoe haraka huo uvimbe Na maisha yako yaendelee kama kawaida zaidi nakupa Pole Na mungu atakuafu
Mkuu nikweli kabisa ana brain tumor amtafute profesa jossph kahamba ni daktar bingwa mtaalamu wa kichwa na mgongo toka muhimbili atamsaidia sana
 
Nimekuja elewa watanzania tunakasafari kwa kweli kwa maelezo ya mtoa maada kwa kweli huo Ni uvimbe kabisa Na hizo zote Ni dalili za uvimbe wahi hospital mkuu wakutoe iyo kitu hakika utapona kabisa,
Bila kupepesa macho Hakika ni uvimbe huo ktk kichwa
 
nakushauri mpigie huyu kaka hapa nakupa namba yake,,ni nabii wa kiroho Mtumishi wa Mungu..Ana maono ya ndani na namfahamu sana namba yake 0713344025 nina imani utapona,,ana maombezi mazito na yenye mnufaa
Hao wezi tu na wahuni,Mungu alishatuasa kipindi hiki dhidi ya manabii wa uongo
 
Mkuu kwanza nikupe pole sana ila usijali aliyekuleta duniani ana makusudi na wewe usijione mpweke. Ushauri wangu nakuomba jitaidi uende pale muhimbili kama wadau walivyosema pale kuna madaktari bingwa utapona na kuendelea na majukumu yako lakini kama utaonwa umebanwa kiuchumi please usisite kuomba msaada kama mkristo au mwislamu omba nafasi simama mbele ongera waambie una shida nina imani utapata kijiela fulani kitakusaidia plus bima yako sio mbaya.
 
Nlipima mara kadha ukimwi, diabates, magonjwa yote ya zinaa inaonekana hakuna shida nmewai kupima na full blood picture pamoja na X ray . Mwisho wa siku madaktari wananiambia hauna tatizo na kupewa madawa tuu. Mwisho wa siku yananichosha. Ntaenda muhimbili kwasababu hospital za mikoani walishacheck full bloom picture wakasema damu hakuna shida. Je mheshimiwa icho kipimo cha haematology kinapatikana muhimbili peke yake tuu ili niende.
Ukienda pale haematology unapimwa damu yako yote mkuu wanavifaa vingi Na advanced zaidi hivo wataona tu tatizo
 
Mkuu nikweli kabisa ana brain tumor amtafute profesa jossph kahamba ni daktar bingwa mtaalamu wa kichwa na mgongo toka muhimbili atamsaidia sana
Kabisa mkuu mana kwa Ayo maelezo hili ndo tatizo lake kabisa muhimu Ni awahi tu Hosp wamtoe maisha yake yataendelea kuwa mazuri kabisa Na iyo Hali itaisha...

Sema umasikini unasababisha vifo vingi sana ambavyo vingiweza zuilika kabisa alafu mbaya zaidi kwanini madaktari wetu wasiwe wanaenda extra mile linapokuja suala la kumfanyia diagnosis mgonjwa jamani ujue hili linakera sana hii tabia ya kuhusianisha umri Na uwezekano wa kupata gonjwa Fulani iishe sasa kwa Hawa madaktari wetu majira yamebadilika sana wajaribu enda mbali zaidi ili kuweza jua tatizo la mgonjwa katika early stage Na sio kumzungusha tu, Na kusababisha upotevu wa pesa wakati angeenda direct kwenye tatizo husika sasa angekuwa mzima wa afya, chukulia kesi ya mleta mada tangu form 2 mpaka sasa Ni karibu miaka 7 lakini hajajua tatizo Ni nini dah
 
Una tatizo serious lakini unaandika maelezo mengi unnecessary. Hadi mtu unapata hisia za huyu anaweza kuwa Nyete mwingine.
 
Back
Top Bottom