Funga mwaka 2018: Nitajie mwanasiasa mmoja tu aliye hai hapa Tanzania ambaye haangalii maslahi ya TUMBO lake kwanza!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,963
141,963
Tunapoelekea kuufunga mwaka 2018 na kuukaribisha 2019 kuna mengi ya kutafakari lakini yatupasa kumshukuru Mungu kwa kila jambo.
2018 imetupa fursa ya kushuhudia kasi ya utendaji kazi kwa wanasiasa !balimbali lakini binafsi nimevutiwa sana na utendaji wa wanasiasa watatu mashuhuri ambao ni mchungaji Msigwa ambaye ni mbunge wa Iringa mjini, ndugu Polepole ambaye ni mwenezi wa CCM na mh Prof Kabudi Waziri wa Katiba na Sheria.

Nimevutiwa na Msigwa kwa namna alivyozishambulia serikali za awamu ya 4 na 5 na viongozi wake wakuu akiwa bungeni lakini siku alipokutana na Rais Magufuli uso kwa uso pale Iringa alimwagia sifa kwa kiwango cha kupitiliza. Kadhalika juzikati Msigwa aliomba kukutana na mh Kikwete alipozuru mjini Iringa, Msigwa alimmwagia Mstaafu huyo sifa za kutosha.

Polepole na Prof Kabudi nawakumbuka kwa umakini na misimamo yao isiyoyumba walipokuwa wajumbe wa Tume ya Katiba mpya ya Jaji Warioba na sasa baada ya kubahatika kupata teuzi serikalini wanajaribu kututhibitishia ule msemo wa wahenga kwamba " Kila king'aacho si dhahabu"

Swali langu la kufungia mwaka ni hili;
Je, unaweza kunitajia mwanasiasa mmoja tu aliye hai ambaye hatangulizi maslahi ya tumbo lake kwanza?

Nawatakia Heri ya Mwaka mpya 2019!
 
Paul makonda
 
so far ni TL on top

Back
Top Bottom