Nenda Orca Deco Nyerere Road karibu na Toyota (international motor mart). Au Upanga barabara ya Ali Hassan Mwinyi karibu na Palm Beach. Utaona duka liko kwenye container liko barabani kabisa.
Kama kweli unataka mkopo, toa maelezo yaliyokamilika mkuu. Kiwanja kina ukubwa gani? kiko kando ya barabara ya kwenda wapi? Unataka mkopo wa laki tano kwa muda gani? uko tayari kutoa riba ya asimilia ngapi kwa mwezi? etc
"KAMATI YA JUMUIYA YA MADAKTARI TANZANIA
02.07.2012
PRESS RELEASE
TAARIFA YA JUMUIYA YA MADAKTARI KUHUSU MAAMUZI YA SERIKALI KUFUATIA HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YAWA TANZANIA TAREHE 1 JULAI 2012 JUU YA MGOGORO KATI YA SERIKALI NA MADAKTARI
Utangulizi
Jumuiya ya madaktari imepokea kwa masikitiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.