amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Last edited by a moderator:
no,nilichosomea kinahusiana na mambo ya bandarini,niambie ntafute wap
njoo pm bwana we unataka tukaguane hapa
Mkuu DHANDO, MAERSK nazo ni ICDs? Mi nazijua AMI, DICD, PMM, TRH, UL HUSSUM, EAST COAST. Kumbe haya makitu yamepanuka namna hii? Watu wanajilia vyao kilaini.
Jamani wadau tuambizane wale mlioko mikoani mara tu ajira za TPA zitakapotangazwa
Thanxs mwakitobe mana shipping line nyingine nilikuwa sizifahamu.je naweza nikafanya clearing pia
?
Ukishindwa kabisa,jaribu kujiajiri hata kwa kuanza na biashara ndogo.Take care sana na hao watu wanaotaka uwa-pm,wanaweza kutumia shida yako kama furaha kwao,we mkubwa,najua umenielewa.
Ndio Mganga wako kakuambia lazima ufanye kazi TPA ndipo utoke kimaisha, au tayari una kimemo cha ajira TPA? Mkuu tafuta kazi na sehemu zingine huenda TPA wasiajiri tena hivi karibuni.
mkuu ngoja mwezi wa 10 labda mr padlocks atafungua lango kuu la usajiliDah mm nimetafuta hadi nimenyoosha mikono nimejipa miezi miwili kutafakari cha kufanya ili by 2017 niwe busy