Recent content by wangatala

  1. W

    JamiiForums Tanzania Iran ngoma inazidi kuwa nzito wakati vikwazo vikianza kuuma.

    Umri wako tafadhali Nakufananisha na msafiri anayepita nyikani toka mwanzo WA safari mpaka anafika hajageuka nyuma
  2. W

    JamiiForums Tanzania Trump Atangaza “Vita vya Kiuchumi” Dhidi ya Iran

    Alizidiwa akili Hana hamu,anashusha drone ya 50ml,anatumia bilioni moja, kafunga hormuz Us,Iran anachochora na reli ,
  3. W

    JamiiForums Tanzania Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

    Huyu Yesu?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Iran na nguvu zake alizonazo ameshindwa nini kuvunja US Naval blockade?

    KWA nini hutaki kumwelewa? Iran anasafirisha nishati yake KWA reli,
  5. W

    JamiiForums Tanzania MUNGU ni mmoja tu, hana mtoto, hakuzaa wala hakizaliwa wala hafanani na yeyote yule

    Kaka Mungu Yupo,unampinga hata Yesu? Luka 6:12 Ikawa katika siku hizo Yesu alienda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
  6. W

    JamiiForums Tanzania US General: Hatuna silaha kuilinda Israel bora tujilinde wenyewe

    Waamini tu,wangeshamaliza mchezo kama Venezuela,,,wamegonga kisiki,
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ni zipi faida za kuvuta sigara?

    Jamaa yangu amempokea Bwana😳 Hataki kuisikia sigara eti unaunguza ekalu la Bwana,anachonisikitisha anavimada havihesabiki😝 Au ndo kashikilia andiko"hakuna mtenda mema,akakosa tenda dhambi"?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ni zipi faida za kuvuta sigara?

    Mi siwezi lala bila kuvuta,siwezi toka ndani asubuhi bila kuvuta, Balaa laja mwezi mtukufu huwezi vuta ndani ya swaumu,Mda WA kufuturu nakiwasha kwanza,nyie malizeni tu ftari,,,,acha tuu🙌
  9. W

    JamiiForums Tanzania Marekani yamaliza 65% ya makombora kwenye vita ya Iran

    Pendelea zaidi kusikiliza kuliko kusikilizwa
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kombora Jericho likiandaliwa rasmi tayari kwa kazi huko Iran!!

    Asipokuelewa hapa,tumtafutie wokovu.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Una mshauri Binti aachane na wazee, una uhakika huyo Binti ana uwezo wa kujihudumia?

    Naomba nitofautiane nawe,hayo mambo hayakuanza jana.Toka kuumbwa KWA Dunia,mfano rahisi kuposwa KWA mama ake Yesu na Joseph akiwa na Miata 88,Umri wake kipindi hicho utashika mdomo.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la wakubwa (JLK):Gharama za ukorofi

    Nipogundua amani ni bora kuliko ushindi,nikawapa ushindi nikabaki na amani.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    🎶kusinzia kitini kwenye matanga ndoto nusu nusu🎶
Back
Top Bottom