Ni zipi faida za kuvuta sigara?

Ni zipi faida za kuvuta sigara?

Mimi sivuti sigara ila swala la kufa watu Kila siku wanakufa siyo Kwa uvutaji wa sigara,
Watu wanakufa Kwa ajali, wanakufa Kwa magonjwa yasiyo ya kuambukizwa, wanakufa Kwa magonjwa ya zinaa, wanakufa Kwa magonjwa ya kutithi n.k
Kifo Kiko pale pale sema kioa mtu atakufa kivyake
 
FAIDA KUU TATU ZA SIGARA AMINI USIAMINI
1. Mvuta sigara hazeeki
2. Mvuta sigara haumwi na mbwa
3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi
UFAFANUZI
"""""""""""''"""
●. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu
●. Haumwi na mbwa kwa vile kifua na mapafu yanapooza na muda wote hulazimika kutembea na bakora mkononi
●. Nyumbani kwake haingii mwizi kwa kuwa inafika wakati ambapo halali. Atakohoa usiku kucha hivyo mwizi anajua yupo macho
kumbe kikohozi tu.
Nimeamini kunatofauti kubwa sana kati ya kukua na kubarehe. Watu wengine mnabarehe lakini hamkui
 
Yaani

Mi siwezi lala bila kuvuta,siwezi toka ndani asubuhi bila kuvuta,

Balaa laja mwezi mtukufu huwezi vuta ndani ya swaumu,Mda WA kufuturu nakiwasha kwanza,nyie malizeni tu ftari,,,,acha tuu🙌
 
Nachukia mtu anaenuka sigara🙌
Unakuta mpaka meno meusi balaa
Nachukia mtu anaenuka sigara🙌
Unakuta mpaka meno meusi balaa
Jamaa yangu amempokea Bwana😳
Hataki kuisikia sigara eti unaunguza ekalu la Bwana,anachonisikitisha anavimada havihesabiki😝
Au ndo kashikilia andiko"hakuna mtenda mema,akakosa tenda dhambi"?
 
Jamaa yangu amempokea Bwana😳
Hataki kuisikia sigara eti unaunguza ekalu la Bwana,anachonisikitisha anavimada havihesabiki😝
Au ndo kashikilia andiko"hakuna mtenda mema,akakosa tenda dhambi"?
Huyo jamaa yako tutamfatilia😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom