Recent content by wandu waruwa

  1. W

    Zitto na Mbatia wamtembelea Mbowe katika Gereza la Ukonga

    Sayansi ipi? Yakupewa viti maalumu ama?
  2. W

    Naomba kufahamishwa Vyuo bora kwa kozi za Engineering Tanzania

    Ila kuna course siyo za miaka mingi kwa mfano mambo ya intelligence and security ambayo miaka mitatu ila ngumu kidogo ukimaliza unaweza kuajiriwa hapa US CAI and FBI unaweza pelekwa sehemu zenye uhalifu kama terrorism na issue nyingine za kiusalama. Tembelea website utajifunza zaidi course ni...
  3. W

    Naomba kufahamishwa Vyuo bora kwa kozi za Engineering Tanzania

    Yeah ila nimichongo tu nawapatia sababu kama siyo wewe ndugu yako wewe mwenye unaeza pata pesa ukamsomesha mdogo wako katika college bora duniani kama hii na pia wako wenye fedha hawajui wapi pa kumsomesha mtoto sasa hii itawasaidia na wengine wanaopita hapa kujua, sababu college kama hii...
  4. W

  5. W

    Naomba kufahamishwa Vyuo bora kwa kozi za Engineering Tanzania

    Iko hapa USA, niko florida CAMPUS nasoma space engineering ila waeza tembelea website ya hii college.
  6. W

    Naomba kufahamishwa Vyuo bora kwa kozi za Engineering Tanzania

    Kwa wale wanaopenda course hizi njoo hapa embry riddle unirv kwa aircraft , space an'computer science engineering.
  7. W

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nahitaji Chimbo la vifaa vya bomba na umeme anaejua atujuze
  8. W

    Jifunze kitu hapa: Hii hapa Taarifa ya mwanaume aliechomwa moto na mwanamke wake (mchepuko)

    Wewe ni fara nini hujui kusoma kiswahili ukaelewa acha ushoga mamy Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
  9. W

    Jifunze kitu hapa: Hii hapa Taarifa ya mwanaume aliechomwa moto na mwanamke wake (mchepuko)

    Acha umbee wewe fara ulimwambukiza wewe Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
  10. W

    Jifunze kitu hapa: Hii hapa Taarifa ya mwanaume aliechomwa moto na mwanamke wake (mchepuko)

    Alimwambukiza HIV huyo jamaa yaani hawa mavinyozi na wanawake wa saloon ni malaya sijawahi ona sijui tatizo ni nini?waseng......e sana
  11. W

    Wife kakuta 5,000 mfukoni wakati anafua, mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015

    Hata mimi nimesoma ila sihitaji ajira ya mtu serekali/ private sector ila ninachofurahia ndoto yangu kuwa tajiri imetimia na siyo kujionesha kuwa mm nitajiri
  12. W

    Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

    Mm niliwahi kuwa na mshikaji mmoja hivi tulijuana kupitia jamaa zangu ila kila mara jamaa alikuwa anakuja maeneo karibu na nyumbani alikuwa na ndugu maeneo yale na alikuwepo fundi carpenta hilo eneo alikuwa jamaa yangu alikuwa ananitengenezea vitu vyangu sasa siku moja nikaenda kwa yule fundi...
  13. W

    Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. W

    Yajue mambo manne yanayomaliza sana hela katika haya maisha

    Hii namba 5 inakula pesa kuliko ugonjwa na kesi maana hii huduma haikwepeki na ni mufilisi watu wengine wameingi kwenye umaskini kwa ajili yako hiyo.
Back
Top Bottom