Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,706
- 4,759
Fee zake kwa mwaka zipojeIko hapa USA, niko florida CAMPUS nasoma space engineering ila waeza tembelea website ya hii college.
Fee zake kwa mwaka zipojeIko hapa USA, niko florida CAMPUS nasoma space engineering ila waeza tembelea website ya hii college.
Anhaa, hongera ndugu. Sema wako wanaoweza ku afford wakaja
Yeah ila nimichongo tu nawapatia sababu kama siyo wewe ndugu yako wewe mwenye unaeza pata pesa ukamsomesha mdogo wako katika college bora duniani kama hii na pia wako wenye fedha hawajui wapi pa kumsomesha mtoto sasa hii itawasaidia na wengine wanaopita hapa kujua, sababu college kama hii ukimaliza siyo mtu yakutafuta kazi wakati wote wewe unahitajika sokoni.Dollar laki tatu hivi inatosha kukusomesha pamoja na mahitaji yako binafsi.Fee zake kwa mwaka zipoje
Apo si chini ya mil 600 si ndiyo?Yeah ila nimichongo tu nawapatia sababu kama siyo wewe ndugu yako wewe mwenye unaeza pata pesa ukamsomesha mdogo wako katika college bora duniani kama hii na pia wako wenye fedha hawajui wapi pa kumsomesha mtoto sasa hii itawasaidia na wengine wanaopita hapa kujua, sababu college kama hii ukimaliza siyo mtu yakutafuta kazi wakati wote wewe unahitajika sokoni.Dollar laki tatu hivi inatosha kukusomesha pamoja na mahitaji yako binafsi.
Apo si chini ya mil 600 si ndiyo?
Mkuu wacha tu vijana waende DIT wakasome kwa HELSB hiyo pesa wachache wataafford😂😂Exactly
Apo si chini ya mil 600 si ndiyo?
Aisee kibongo bongo vyuo vyote vinafanana,miundo mbinu bado mibovu hasa katika "practical". Zamani tulikuwa tukiaminishwa ya kuwa DIT kwa Practical wako vizuri,ila ukweli ni kinyume chake.Inategemea na course gani..Kama mechanical naona MUST na UDSM hawana mpinzani kwakua ATC bado hajaruhusiwa kutoa degree yake. Ila electrical nako must na DIT. Automobile na aircraft nenda NIT Ila siwezi kurecomend hizi course.. biomedical engineering ni MUST coz ukienda MUHAS bado utapelekwa MUST kusoma zaidi.. architecture naona ARDHI afu ndo MUST(course ngumu mno na moja ya course inayokufanya uwe vizuri tangu chuoni),,civil UDSM/ARDHI afu DIT/MUST..
Muandiko Sasa
Ni kweli kabisa Ila kunabaadhi ya vyuo atleast vinamsaidia kijana akienda ata field anakua c mgeni Sana..ukiangalia vijana wa field amini vijana wa mechanical wa ATC wanautofauti na wengine..Kuna chuo kikubwa vijana wake wanne hawaijui brake pad na turbo charger wapo mwaka wa tatu adi nilishangaa asee Ila theory wapo vizuri tuu..Aisee kibongo bongo vyuo vyote vinafanana,miundo mbinu bado mibovu hasa katika "practical". Zamani tulikuwa tukiaminishwa ya kuwa DIT kwa Practical wako vizuri,ila ukweli ni kinyume chake.
Wewe kama unapenda kuwa Mhandisi basi fanya juhudi ya kujifunza nje ya darasani na tena ukiwa unaenda field ndiyo usizembee kabisa. Uhandisi huwezi kuupata chuoni,bali kazini,na ukizembea kazini utakuwa Muhandisi jina tu. Mfumo wetu wa elimu bado sana.
Tulio wengi ujuzi tumeupata field na kwenye kazi hasa miradi na kusoma nje ya darasani.
Hapo nimekupataAisee kibongo bongo vyuo vyote vinafanana,miundo mbinu bado mibovu hasa katika "practical". Zamani tulikuwa tukiaminishwa ya kuwa DIT kwa Practical wako vizuri,ila ukweli ni kinyume chake.
Wewe kama unapenda kuwa Mhandisi basi fanya juhudi ya kujifunza nje ya darasani na tena ukiwa unaenda field ndiyo usizembee kabisa. Uhandisi huwezi kuupata chuoni,bali kazini,na ukizembea kazini utakuwa Muhandisi jina tu. Mfumo wetu wa elimu bado sana.
Tulio wengi ujuzi tumeupata field na kwenye kazi hasa miradi na kusoma nje ya darasani.
HeeeeNi kweli kabisa Ila kunabaadhi ya vyuo atleast vinamsaidia kijana akienda ata field anakua c mgeni Sana..ukiangalia vijana wa field amini vijana wa mechanical wa ATC wanautofauti na wengine..Kuna chuo kikubwa vijana wake wanne hawaijui brake pad na turbo charger wapo mwaka wa tatu adi nilishangaa asee Ila theory wapo vizuri tuu..
Connection au sio? Hii inaweza ikawa sabab mojawapo ya kutokuwa na wakandarasi wa kiTz waliobobea kwenye fani zao.Hamna chuo Bora kuzidi mwenzake , muhimu connection tu
Kama utataka ujue mambo kwa vitendo ni vizuri uje AtcHabari za saizi wana jukwaa popote pale ulipo ndani ya mipaka ya Tanzania na hata nje.
Kulingana na matokeo ya kidato cha sita, wengi wa wadogo zetu wanatamani kujua vyuo bora vinavotoa kozi za engineering ili waendeleze carier zao.
Ukiaachana na majina ya vyuo, natamani kujua vyuo vinavotoa kweli wahandisi hapa nchini.
Karibuni...
So ATC ni kwa fani zote au mechanical tu??Kama utataka ujue mambo kwa vitendo ni vizuri uje Atc
Ila kama unataka kujua mambo darasani nenda DIT
Sipingi chochote hapa. Ongeza Electrical MUST inazidi vyote, Computer Engineering UDOM wanajua sana, Telecommunication DIT na UDSM, hiyo Architecture Ardhi inaizidi mbali sana UDSM, Aircraft Engineering NIT ndio wanatoa na nchini kuna upungufu wa 60% wa mainjia hao wazawa hadi sasa, Automobile ni ngumu huwezi amini ila hakuna chuo hapa nchini kinaifundisha effectivelyInategemea na course gani..Kama mechanical naona MUST na UDSM hawana mpinzani kwakua ATC bado hajaruhusiwa kutoa degree yake. Ila electrical nako must na DIT. Automobile na aircraft nenda NIT Ila siwezi kurecomend hizi course.. biomedical engineering ni MUST coz ukienda MUHAS bado utapelekwa MUST kusoma zaidi.. architecture naona ARDHI afu ndo MUST(course ngumu mno na moja ya course inayokufanya uwe vizuri tangu chuoni),,civil UDSM/ARDHI afu DIT/MUST..
Muandiko Sasa
Wazo zuriKwa upande wangu huyo bandugu kama anapenda maswala ya aviation asomeee aircraft engineering japo sijajua ada yake hapo NIT .au asomeee flight dispatcher kwa miezi 6 , yaani miezi 3 theorical studies na nyingine 3 practical training kwenye mashirika ya ndege ya hapa tz au ya nje .uzuri wa hii course ni kwamba hata ukija kujichanga baadaye ukaamua ukasomea urubani ,gharama zake zitapungua kwa asilimia fulani ambapo inakuwa nafuu .kwa uhakika nilionao sijawahi kuona mtu aliye mtaani kasoma hizi mambo zinazohusiana na ndege never.
Huu ni ushauri wangu tu sio lazima ufanyiwe kazi.
Mbona nlishaandika electrical ni must au kisa nimeandika kwa herufi ndogo?? Automobile ni NIT sema hii course inachangamoto zake bora mtu apige mechanical tuu.. architecture nmeshaandika ARDHI na MUST.. yah computer ni udom Ila apa inabidi ujiongeze mnoo mnoo..Sipingi chochote hapa. Ongeza Electrical MUST inazidi vyote, Computer Engineering UDOM wanajua sana, Telecommunication DIT na UDSM, hiyo Architecture Ardhi inaizidi mbali sana UDSM, Aircraft Engineering NIT ndio wanatoa na nchini kuna upungufu wa 60% wa mainjia hao wazawa hadi sasa, Automobile ni ngumu huwezi amini ila hakuna chuo hapa nchini kinaifundisha effectively
Unajua maana ya Mkandarasi?Connection au sio? Hii inaweza ikawa sabab mojawapo ya kutokuwa na wakandarasi wa kiTz waliobobea kwenye fani zao.