Yajue mambo manne yanayomaliza sana hela katika haya maisha

Kuna gharama zinakwepeka kwa kuishi maisha yanayofanana na wewe,mfano ujenzi: umetoa mfano wa kitasa cha sh 70,0000. lakini kuna kitasa cha sh 30,000.kinaweza kudumu hata miaka10 .
Achana na kitasa cha 30,000.., kunakomeo la buku tano na kufuli la buku nne, usingizi muruwa kabisa
 
hii ni sawa kabisa na kufunga nyumba na kufuli ya elfu 6,ndani kuna tv ya laki 8.

kitasa cha elfu 30 ni kizuri ila labda milango ya ndani huko,nje pale gate kuu lazima ukaze matako,no way.
Kwani kitasa cha laki moja ndio kitamzuia mwizi. Haya maisha ndio maana hayanipagi tabu sana coz wakati mtu anahisi hilo Jambo gumu mwingine analiona jepeeesi.
 
Habari...

Kumradhi, ninaandika kwa kifupi sana

Kuna mambo mengi yanayomaliza pesa katika maisha haya ila manne kati yao ni kiboko. Mbaya zaidi ni kwamba mtu hawezi kuyakwepa

1.Ujenzi
Achilia mbali nyumba, Kitasa cha mlango tu elfu sabini! Fikiria kuhusu mlango wenyewe.
)

Kitasa elfu 70, hapo lazima uyaone maisha magumu.
Lakini amini nakwambia, Mimi binafsi maisha yatakuwa mepesi sana sababu nitanunua kitasa cha TZS 7,000/= kisha 63,000/= iliyobaki nitanunua mifuko kadhaa ya sementi. Hivyo, Ujenzi utakuwa rahisi kwangu.
Note: Naishi kulingana na status yangu.
 
Mi naona kila kitu ni gharama kinamaliza pesa tu had ubahili nao ni gharama vilevile Dah bora hicho kitasa cha 70k ukikiweka mlangoni kitakusaidia na utaendelea kuonaona pesa yako imefanya kaz gani jinsi navyo jibana natafuta pesa najifanyia ubahili bila kufanya starehe juz kat hapa nmepoteza 80k sijui hata imedondoka au nmeibiwa alaf kla siku usiku nakula wali maharage bora hata ningechoma zangu kuku maana haijanisaidia kitu
 
Maradgi yanaepukika mfano ukimwi.. una sex na watu wengi bila kinga ni una hatari ya kupata kuliko mama mchungaji .. ama kisukari unakura vyakula vibaya na hufanyi mazoezi..

Health lifestyle ni kula vizuri balance diet na mazoez
Kinga sasa haziaminiki ni vema kupima.Kama una mzingo ingia kituo cha Afya nenda maabara mpoze jamaa anawapima mnatoka kiroho Safi.Hiyo mikondom imekaa Sana dukani inaweza pasuka au wale jamaa wa utamu ukizidi wanavua au wale wakipewa mzigo Mara mbili anavaa ndom ya tatu kamzoea anapiga kavu.
 
Pesa inamalizika kwenye matumizi yanayojirudia kila siku, hayo uliyoyaandika yanatumika kimazoea tu ili kufarijiana.

1Chakula
2Umeme/Nishati
3Maji
4Mafuta/Usafiri/Nauli
5Kuhonga
6 Vilevi/Pombe/Unga/Casino.
7Mavazi/Malazi
8Watoto
9Wakwe
10Wazazi/Ndugu/ Wategemezi.
Kabisa
 
Mi naona kila kitu ni gharama kinamaliza pesa tu had ubahili nao ni gharama vilevile Dah bora hicho kitasa cha 70k ukikiweka mlangoni kitakusaidia na utaendelea kuonaona pesa yako imefanya kaz gani jinsi navyo jibana natafuta pesa najifanyia ubahili bila kufanya starehe juz kat hapa nmepoteza 80k sijui hata imedondoka au nmeibiwa alaf kla siku usiku nakula wali maharage bora hata ningechoma zangu kuku maana haijanisaidia kitu
 
Mi nikisafiri nikirejea napiga hesabu nakuta hesabu ya pesa imetumika sana.. Safari zinatumia pesa sana
 
Acha TU,
Ukute ndio unashtakiwa, joto litapanda.

Ukiwa unashtaki,
Gharama zikizidi unatelekeza kesi unaendelea na ishu zako.
Kesi za Tanzania inaweza kwenda mpaka Miaka kumi Hakimu anakula mpunga wako halafu unasikia kahamishwa Mkoa mwingine anakuja Hakimu mpya na mnaanza mwanzo kupanga dau jipya🙁
 
Hii namba 5 inakula pesa kuliko ugonjwa na kesi maana hii huduma haikwepeki na ni mufilisi watu wengine wameingi kwenye umaskini kwa ajili yako hiyo.
Pesa inamalizika kwenye matumizi yanayojirudia kila siku, hayo uliyoyaandika yanatumika kimazoea tu ili kufarijiana.

1Chakula
2Umeme/Nishati
3Maji
4Mafuta/Usafiri/Nauli
5Kuhonga
6 Vilevi/Pombe/Unga/Casino.
7Mavazi/Malazi
8Watoto
9Wakwe
10Wazazi/Ndugu/ Wategemezi.
 
Pesa inamalizika kwenye matumizi yanayojirudia kila siku, hayo uliyoyaandika yanatumika kimazoea tu ili kufarijiana.

1Chakula
2Umeme/Nishati
3Maji
4Mafuta/Usafiri/Nauli
5Kuhonga
6 Vilevi/Pombe/Unga/Casino.
7Mavazi/Malazi
8Watoto
9Wakwe
10Wazazi/Ndugu/ Wategemezi.

Dah mkuu!
Wakwe?? Basi sema na wazazi wako malizia tu kusema wazazi
Pole inaonekana wakwe wanakukwangua haswa
 
Back
Top Bottom