Recent content by Wamtaa huu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nunez...not a bad player....not a good enough footballer...not a complete attacker...An average goal scorer....
  2. W

    JamiiForums Tanzania Siku za kocha Pablo wa Simba zaanza kuhesabika

    Hivi wewe Erythrocyte huwa unafanya Kazi Sana ngapi ndugu?Massa yote upo Jf unaanzisha tu mathread!!Au unalipwa na JF kupost?Lakini mbona thread zenyewe ni poor Sana,wala sio za fikra pevu,wanaweza kulipia ujinga kweli?? Wewe ni kielelezo cha vijana wavivu na wapumbavu wanaofikiri maisha ni...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mara nyingi mi ni msomaji tu humu but naona mara nyingi ww unajifanya kujua sana kiasi wengine wote wakubali tu chochote usemacho...Unawapa wenzio majina mara tpo reds,supertfans etc...huu kwangu mi naona ni ubwege wa kiwango kikubwa sana.Kwamba mtu kuwa na mawazo tofauti na wewr hayupo sahihi...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Simu kushindwa ku-update Application

    Asante hii imefanya kazi
  5. W

    JamiiForums Tanzania Simu kushindwa ku-update Application

    cc Chief-Mkwawa
  6. W

    JamiiForums Tanzania Simu kushindwa ku-update Application

    Nina tecno CX air.Whatsap inashindwa ku update.Nimejarib na apps zingine pia inashindwa ku update.Nimejaribu kuzima na kuwasga,kutumia wi-fi nimeshindwa.Wandugu naomba msaada wa hilo tafadhali.Nifanye nini nitatue hilo?Nimetaka kureset default lakini nna hisi nitapoteza kumbukumbu zote hadi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ugawaji wa alama "points" kwenye Belgian Pro League Play-off season ukoje?

    Mambo mengine unagugo tu na kujiongezea maarifa
  8. W

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Asante kwa mawazo mkuu Kajole
  9. W

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Thanx for the reply....nauli inakuaje mkuu na muda wa kufika kwa njia ya dar na ile ya songea
  10. W

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Narudia tena wadau Nipo Iringa nataka kwenda masasi.Ipi ni route bora kuitumia kati ya kupitia Songea to Masasi au kupitia Dar to Masasi.Naomba anayejua hizo njia anipatie na mimi nipate uelewa kidogo.Umbali,nauli na ubora wa barabara kwa kuanzia safari Iringa.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Nataka kusafiri kutokea Iringa kwenda Masasi.Njia ipi nitumie kati ya Iringa _Dar_Masasi au Iringa_Songea_Masasi?Kwa kuzingatia nauli,umbali na ubora wa barabara
  12. W

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Bibie umefurahi sana ee?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Yaani wewe ulioleta uchambuzi wa kifacebook humu kwrnye jukwaa la watu wanaojua mpira umeniharibia siku kabisa. Yani serius kabisa kutoka facebook?Usitushushe bana. Peleka facebook uchambuzi wa humu...sio kuuleta humu uchambuzi wa facebook. Humu kuna vichwa tosha kabisa kutoka kwa wanaoijua...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool: Karius; Randall, Lovren, Matip, Flanagan; Brannagan, Stewart; Mane, Ejaria, Coutinho; Firmino
  15. W

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchelewesha sana Baraza la Mawaziri

    Mkuu kama nimekuelewa vizuri kuwa mawaziri have been reduced to just political figures kwa sababu kazi zote za uandaaji wa sera na utekelezaji wa ajenda za kitaalam wizarani zinafanywa na makatibu wakuu na jopo lao la wataalam. From that scope of view therefore we can survive as a nation...
Back
Top Bottom