Wamtaa huu
Senior Member
- Jan 21, 2011
- 168
- 55
Nina tecno CX air.Whatsap inashindwa ku update.Nimejarib na apps zingine pia inashindwa ku update.Nimejaribu kuzima na kuwasga,kutumia wi-fi nimeshindwa.Wandugu naomba msaada wa hilo tafadhali.Nifanye nini nitatue hilo?Nimetaka kureset default lakini nna hisi nitapoteza kumbukumbu zote hadi whats up ambapo nina magroup very useful...naomba msaada ndugu na jamaa jamani.