Recent content by wamlaga

  1. W

    Kufungua tawi la chadema udom

    sawa yetu macho
  2. W

    Kufungua tawi la chadema udom

    Naamini umetujibu kwa nia njema kabisa asante kwa ushauri wako. labda haukuona vema eneo ambalo hili tawi linafunguliwa si katika eneo la chuo kwani ni mjini kabisa. pia wanofungua ni wafanyakazi na wanafunzi hivyo usihofu wanafunzi hatapewa majukumu mazito yatakayo sababisha kushuka ufanisi...
  3. W

    Kauli ya First Lady wa Dk. Slaa, Josephine

    Hapo umenena wewe ni kichwa mkuu. propaganda huwa hazifanyi kazi wakati wote. muulize waziri wa habari wa saadam hussein. DR. W. Slaa songa mbele
  4. W

    GE2010 CCM wabanwa vijijini; wamuongezea mzigo JK

    Tusilumbane wapenda maendeleo wote kura kwa dr. Slaa. Hakikisha meseji za kumwaga kwenda kwa watu wote unaowafahamu, kumbuka wengi wanakuamini na kukuheshimu tumia nafasi hiyo kuendelea kuomba kura kwa ajili ya slaa
  5. W

    TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

    Ninampa pole marin kwa kilichompa. Ninampa ushauri wa bure kabisa aache kutafuta ukuu wa wilaya kwa mbinu chafu azingatie maadili la sivyo siku moja atang'oka meno kwa ushamba. Nguvu ya uma inatisha.
  6. W

    TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

    Ninampa pole marin kwa kilichompa. Ninampa ushauri wa bure kabisa aache kutafuta ukuu wa wilaya kwa mbinu chafu azingatie maadili la sivyo siku moja atang'oka meno kwa ushamba. Nguvu ya uma inatisha.
  7. W

    Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu

    TBC SITAITAJA KWANI WAO NILIWATARAJIA. Magazeti ya R. Mengi yanachefua sana kwani wanashindwa kusimamia maadili ya uandishi wanajikomba sana hawa ndugu hivi hawafahamu kwamba uchaguzi unapita? Watanzania ninaomba tutambuo vyombo na waandishi wa ukweli na wa uongo. Sitamfasahau kibonde huyu ni...
  8. W

    Makapi ya CCM yanapokuwa ngano kwa CHADEMA

    Kiama cha Kikwete kimefika, Nani amesema Chadema hakitapata wabunge wengi? ni mwendawazimu tu ndiye anaweza kuamini hivyo. Kuna watu wengi wako na wengine walikuwa ccm si kwa sababu wanaamini kilichopo huko, bali ni kutokana na woga wa kufuatiliwa, sasa wamegundua Chadema kina nguvu kubwa na...
  9. W

    Serikali Yawapoza Wafanyakazi!

    Rushwa hiyo na hapa wafanyakazi hatudanganyiki labda hao wenye vyeo vya kutuliwa na wanaofanana na hao sisiem mmefulia vibaya kwa kauli za kuropoka
  10. W

    GE2010 Kyela elections!

    Hongera Mwakyembe ninatamani hata viongozi wangu wa Chadema wasiweke mgombea huko, ila ninaomba tu tuunge mkono kumng'oa JK kwa kura halali si unajua jamaa alikuwa amekuacha ushughulikiwe na mafisadi. Asanteni wanakyela chukueni zile rushwa za CCM ila kura zote tumpe Dr. Slaa ahsanteni.
  11. W

    GE2010 Mwita Waitara Mwikwabe ashinda kura za maoni Tarime

    mwita ni wangwe wa pili.
  12. W

    GE2010 Ufisadi kura za maoni ccm tahadhari kambi ya upinzani

    Kwa kweli kelele za wana CCM kufisadiwa katika kura za maoni na wana CCM wenzao kuchukuliwe kwa tahadhari kwani wengi wanaolalamika wanajua chama kimezoea kufanya nini ili kupata unaoitwa "ushindi wa kishindo" wakitoka huko mbinu hizohizo zinaweza kutumika endapo zitaruhusiwa. Rai kambi ya...
  13. W

    GE2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

    Kwa kweli Dr. Slaa ni mtu makini na sio siri wasomi wenzagu wa chuo kikuu niliokutana nao wanaonyesha kumuunga mkono sana. Wapo na wengine wengi waliokuwa wamekata tamaa ya kupiga kura wamesema ari ya kura imerudi kwa kishindo na kura zote kwa Dr. Slaa. kwa kweli hao wapambe wa mafisadi matumbo...
  14. W

    GE2010 Kumekucha Nzega! Selelii azomewa mwanzo mwisho!

    BASHE ANAANGUKA KWA KISHINDO KWANI HAPA LUSSU YAANI9 MWALUZWILO WATU WANADAI NI BORA APITE KIGWANGALA Dr. kuliko huyu wa richmond
Back
Top Bottom