Elections 2010 Kyela elections!

Status
Not open for further replies.
Mkuu yale yale ya kujifanya wanijua! Sawa natokea Mwanza, unajua kama Mzanzibar wangu ana asili na Kyela? Ugali ni chakula cha wanaume tena wa ulezi changanya na Muhogo mboga ikiwa rasta sijui kama wazijua! Nsansa na vitwilo

Masa,

SI unawajua zao hao, wanamjua kila member wa JF (kwenye ndoto zao) na anakotokea.

Ha ha ha ha
 
Mkuu yale yale ya kujifanya wanijua! Sawa natokea Mwanza, unajua kama Mzanzibar wangu ana asili na Kyela? Ugali ni chakula cha wanaume tena wa ulezi changanya na Muhogo mboga ikiwa rasta sijui kama wazijua! Nsansa na vitwilo
.

na ugali wa udaga mbona umesahau?
 
.

Masanilo.
Mimi nimekuelewa sana Mkuu wangu.
Point yangu awali ilikuwa, tatizo la kadi feki,ambalo linaweza kumwalibia mwakyembe.Na nikalinganisha hilo na rushwa.Sasa wewe umeongelea watu kuondoka kwenye mkutano mapema,wakati mimi nilikuwa ninaongelea rushwa na uwezekano wa mwakyembe jina lake kutorudi..

Sasa wewe ndiyo haujanielewa.Mimi sijaongelea kampeni zilikwendaje.nimeongelea rushwa.

Ngoja nilazimishe kukuelewa

Hii ndugu yangu nje ya ulingo vipi laputopu utairudisha ama mwendo mdundo?
 
Mwafrika, kuwa macho sana na neno KUJUA. Kitabu cha Mwanzo kwenye Biblia wanaandika "..... Adamu AKAMJUA mkewe Eva akamzaa mtoto wa kwanza akamwita Mwakyembe, mtoto Mwizi wa Kura, AKAMJUA TENA akamzaa Mwakalinga........" Mwakyembe akamuonea wivu nduguye Mwakalinga kwa mawazo yake na akaamua kutumia TASK FORCE na Kadi za wizi kumuangusha nduguye. Mwakalinga alipolalamika, akaja Malaika Makamba akasema "kadi zote zitahesabiwa na mwenye malalamiko ayapeleke juu...." Mwakalinga akaandika Malalamiko na kusubiri uamuzi wa mwisho huku akijiandaa kubeba Box za British Telecomunications.

Tumia neno -KUFAHAMU-.
 
Ngoja nilazimishe kukuelewa

Hii ndugu yangu nje ya ulingo vipi laputopu utairudisha ama mwendo mdundo?

hizo laptop mnazijua wenyewe hukohuko.Kama na wewe unakuwa na majungu,basi endelea.
Na wapongeza sana wanakyela.Kwa kuipenda sana ccm.Wapiga kura 20,000 si mchezo. Na nasikia wwengine walizuiwa.mhh good combination
 
Mwafrika, kuwa macho sana na neno KUJUA. Kitabu cha Mwanzo kwenye Biblia wanaandika "..... Adamu AKAMJUA mkewe Eva akamzaa mtoto wa kwanza akamwita Mwakyembe, mtoto Mwizi wa Kura, AKAMJUA TENA akamzaa Mwakalinga........"

Haya mkuu, nitaacha mambo ya kujua watu ... wasijepata mimba bureee?

Mwakyembe akamuonea wivu nduguye Mwakalinga kwa mawazo yake na akaamua kutumia TASK FORCE na Kadi za wizi kumuangusha nduguye. Mwakalinga alipolalamika, akaja Malaika Makamba akasema "kadi zote zitahesabiwa na mwenye malalamiko ayapeleke juu...." Mwakalinga akaandika Malalamiko na kusubiri uamuzi wa mwisho huku akijiandaa kubeba Box za British Telecomunications.

Tumia neno -KUFAHAMU-.

SIkonge,

Ile thread ya kadi 10,000, mliianzisha nyie. Hakuna independent uthibitisho wowote mlioutoa. Na hata pamoja na hayo, mlishangilia ushindi kuwa mmefanikiwa kuondoa kadi elfu kumi (in your dream) za wizi.

Ile thread ikafutwa, haya ya leo ni juhudi zenu tu kutaka kutafuta legitimacy ya maamuzi ya NEC ya kumtoa Mwakyembe na kumweka Mwakalinga. Huu ni mchezo ambao ulifahamika zamani sana na watu waliongelea hapa JF.

Kinachoandaliwa na kina Lowassa kwa Mwakalinga kinajulikana (kama vile mnavyojua hizo kadi 10,000). Wengi hapa ni macho na masikio tu huko NEC
 
hizo laptop mnazijua wenyewe hukohuko.Kama na wewe unakuwa na majungu,basi endelea.
Na wapongeza sana wanakyela.Kwa kuipenda sana ccm.Wapiga kura 20,000 si mchezo. Na nasikia wwengine walizuiwa.mhh good combination

Ukiona jilala anaaga kuwa anaenda kukamua maziwa na kisha anabaki hapa JF akiandika kwa upole namna hii, ujue kuwa mkuki wa kwenye moyo unaendelea na kazi yake.
 
Huwa wananiacha hoi sana! Lile jeshi la ID nadhani Maxence amelidhibiti Mzee AS amekula kobisi

ha ha ha,

Yaani wamekuwa wapole .... mzee AS yupo tu ila kanyweaaaaa. Unajua baada ya matokeo, ilibidi niende tuena kusikiliza ile interview ya Mwakyembe. Alisema kuwa Mwakalinga haijui Kyela..... nimesoma sehemu hapo juu kwa Mwakalinga alishindwa hadi kijijini kwao alikozaliwa.

Ongelea kuhusu Portugal na North Korea ... hii ilikuwa ni zaidi ya hapo.
 
Haya mkuu, nitaacha mambo ya kujua watu ... wasijepata mimba bureee?

Hahahaaaa, umenikumbusha miaka ya 80 pale Taboja Mjini shule ya Secondary Uyui. Alikupo Mhindi mmoja kama HM wa shule. Msichana akipata mimba basi anamwita na kuanza kumwuuliza bibie "........ amekumimba-mimba je?"
Hapo ndiyo itakuwa kasheshe, dume kuulizwa "wamelimimbamimbaje?"

Swala la kadi lilikuwa na UTATA hadi mwisho. Anyway, ngoja tuliache.

NitaMPINGA waziwazi Mwakalinga kama atapendekewa na CC au NEC. Labda hiyo iende kwa KUMUONDOA na KUMSHITAKI Mwakyembe kwa wizi wa KADI. Vinginevyo uongozi wake hautakuwa tofauti na Mwakyembe ambaye aliingia kwa wizi na kufungia wajumbe kwa vitisho kwenye hoteli na gharama zote kulipwa na Mwanjala aka Mpwa.
 
Hon Katabazi

You can put as much lipstick on a pig as you like, but it still Mwakyembe knows how to deal with Fisadis. Welcome back, again.

By the way mbunge si mtu anayeleta maendeleo, maendeleo yanaletwa na wanajimbo. Kazi ya mbunge ni kuhimiza na kutoa mchango wake wa kuunganisha nguvu za serikali na za wananchi.

Otherwise ndio ule ujanja wa kuwanunualia pampu ya maji unasema umewaletea maendeleo, au unawanunulia kanga unasema umewaletea maendeleo, ujinga huu unafanywa na wabunge wengi.
 
Hahahaaaa, umenikumbusha miaka ya 80 pale Taboja Mjini shule ya Secondary Uyui. Alikupo Mhindi mmoja kama HM wa shule. Msichana akipata mimba basi anamwita na kuanza kumwuuliza bibie "........ amekumimba-mimba je?"
Hapo ndiyo itakuwa kasheshe, dume kuulizwa "wamelimimbamimbaje?"

H aha hah a

Hiyo ya kumimbwamibwaje niliwahi kuisikia somewhere

ningependa kuona hiyo scene kati ya afande samweli na ki-gf chake cha kutoka nzega wakihojiwa na huyo HM ... kasheshe la hapo, mpaka askari magereza waje kuamulia.

Swala la kadi lilikuwa na UTATA hadi mwisho. Anyway, ngoja tuliache.

I agree with you

NitaMPINGA waziwazi Mwakalinga kama atapendekewa na CC au NEC. Labda hiyo iende kwa KUMUONDOA na KUMSHITAKI Mwakyembe kwa wizi wa KADI. Vinginevyo uongozi wake hautakuwa tofauti na Mwakyembe ambaye aliingia kwa wizi na kufungia wajumbe kwa vitisho kwenye hoteli na gharama zote kulipwa na Mwanjala aka Mpwa.

Bado mimi naamini kuwa CC au NEC watajaribu kuondoa jina la Mwakyembe... kasheshe la hapo... litasikika hadi OAU kule Salim Ahmed Salim

Watch this space
 
Hongera Mwakyembe ninatamani hata viongozi wangu wa Chadema wasiweke mgombea huko, ila ninaomba tu tuunge mkono kumng'oa JK kwa kura halali si unajua jamaa alikuwa amekuacha ushughulikiwe na mafisadi. Asanteni wanakyela chukueni zile rushwa za CCM ila kura zote tumpe Dr. Slaa ahsanteni.
 
Kuna binti mdogo alishawahi kupelekwa mahakamani kama shahidi. Mama yake akamwambia aseme kila kitu jinsi baba yake alivyokuwa akimpiga. Binti akasema naam, atasema.

Kufika Mahakamani binti kweli akasema:
"......... baba huwa anampiga makofi mama, mateke na ngumi. Mama analia baba anampiga tu. Na siku nyingine hata usiku, baba anamlalia mama na kuanza kumpiga na kiuno. Mama analia, lakini baba anampiga tu.........."

Hapo kwenye Bluu, kunaweza kuwa tatizo kubwa sana kwa Mwakyembe. Nina wasiwasi anaweza kuwa kama yule mama na hizo kadi zikawa binti. Inaonekana wazi kabisa kuwa Mwakyembe angeliweza kushinda bila kadi FEKI. Sasa kwa nini alienda kuzoa hiyo mikadi kama alikuwa na uhakika wa kushinda? Na kibaya zaidi ni kuwa inaonekana waliiba bila ya kukubaliana waibe kiasi gani.

Kijana wangu mmoja alishindwa uongozi kwa sababu hiyohiyo akiwa secondary. Alikuwa akipendwa sana na wapambe walitaka ashinde kwa nguvu. Wakampigia kura mara tatutatu na walipokuja kuheseabu kura, kura zikawa zaidi ya idadi ya Wanafunzi na Waalimu na familia zao.

Wanachama 20,000 Kyela wamepiga kura, teteteteee hii inaweza kuwa ile story ya ".... baba anampiga mama kitandani na kiuno."

Sawa watani zangu Wanyakyusa. Kama kuna mtu nilimtibua katika mijadala ya Mwakalinga, Mwakyembe na Kyela basi anisamehe. Kama kuna mtu nilimshambulia humu basi afahamu kuwa nilimuweka gunia moja la Wanyakyusa. Kama wee si Mnyakyusa na nimekupitia na utani ulio karibu na matusi, tusameheane. Ila kama wee ni Mnyakyusa, hihiihiiiiiii Msula eve!!! hahahahahahaaaa Mnyamwezi najikata.

Bye bye.
 
Wewe shauri yako Afande Samweli akikusikia ... ha ha ha

Yaani unasema kuwa Mwakyembe amempiga Samweli na kiuno?

Hapo kwenye Bluu, kunaweza kuwa tatizo kubwa sana kwa Mwakyembe. Nina wasiwasi anaweza kuwa kama yule mama na hizo kadi zikawa binti. Inaonekana wazi kabisa kuwa Mwakyembe angeliweza kushinda bila kadi FEKI. Sasa kwa nini alienda kuzoa hiyo mikadi kama alikuwa na uhakika wa kushinda? Na kibaya zaidi ni kuwa inaonekana waliiba bila ya kukubaliana waibe kiasi gani.

Hii ni story yako tu na ni ya uongo... kadi feki za wapi? Eti wameiba kura, na yale matambo yote ya Mwakipesile na timu ya Mwakalinga kuwa watacheza jino kwa jino Mwakyembe angeiba vipi?

Kijana wangu mmoja alishindwa uongozi kwa sababu hiyohiyo akiwa secondary. Alikuwa akipendwa sana na wapambe walitaka ashinde kwa nguvu. Wakampigia kura mara tatutatu na walipokuja kuheseabu kura, kura zikawa zaidi ya idadi ya Wanafunzi na Waalimu na familia zao.

Wanachama 20,000 Kyela wamepiga kura, teteteteee hii inaweza kuwa ile story ya ".... baba anampiga mama kitandani na kiuno."

Sikonge, unafahamu (na kujua kwa kiuno cha yule baba kwenye stori hapo juu) kuwa Mwakyembe angekutwa hata na kaskendo kadogo tu kwenye uchaguzi huu, vyombo vyote vya rostam vingepiga tarumbeta mpaka mbigu zipasuke.

Unakumbuka ile skendo feki ya umeme wa upepo waliyomzushia?

Trust me, kulikuwa na waandishi kibao wa magazeti ya Rostam kule kyela ambao walikuwa wanasubiri kupata chochote ili wampondee Mwakyembe

Ukiona kimya hivi, ujue hawakupata chochote

Sawa watani zangu Wanyakyusa. Kama kuna mtu nilimtibua katika mijadala ya Mwakalinga, Mwakyembe na Kyela basi anisamehe. Kama kuna mtu nilimshambulia humu basi afahamu kuwa nilimuweka gunia moja la Wanyakyusa. Kama wee si Mnyakyusa na nimekupitia na utani ulio karibu na matusi, tusameheane. Ila kama wee ni Mnyakyusa, hihiihiiiiiii Msula eve!!! hahahahahahaaaa Mnyamwezi najikata.

Bye bye.

Kwa heri na wewe ila usiondoke JF.... tafadhali sana mtume Afande Samweli aje hapa apate kichapo kidogo. Naona binamu ya jilala kaenda kulala kabisaaa
 
Mwafrika,

Gia mliotumia kushinda ni kubwa sana. Yaani kura 17,000???? Mhhh Nyie wakali. Naona Kyela inaongoza kwa kuwa na CCM wengi kuzidi hata Dar es Salaam. Nina imani hata wewe moyoni unafahamu kabisa KALUFUNDI Kamechezwa.

Hapa nipo nimejichimbia saafi kabisa nikijiandaa kuanza kampeni kwa ajili ya Dr. Slaa. Akitangaza kipenga basi nitaenda ARDHINI. Uchaguzi haufanyiki JF mkuu. Malecela alisema "ushindi unapatikana ardhini" na siyo angani au kwenye MITANDAO. Hivyo, nikifungiwa kwa kumwaga mboga, haitakuwa hasara sana. Kifungo hicho ntakiomba mwenyewe kabisa. IP BAN FOR LIFE.

Mkuu!!katika uchaguzi wa 2005, wananchi 63, 939 walipiga kura katika Jimbo la Kyela, hivyo kuwepo na wanachama wa CCM 17,000 it's not a big deal ukizingatia kuwa maeneo ya vijijini asilimia kubwa ya wananchi ni wanachama wa CCM.

Na hii sio Kyela tu, majimbo mengi ya Vijijini yana wapiga kura zaidi ya hao wa Kyela, ila Kyela imetokea tu kuwa Mgombea aliyepigiwa kura kwa wingi ni mmoja tu.

Check majimbo haya...

Katika jimbo la Arumeru Magharibi, Goodluck Joseph ole Medeye aliibuka mshindi dhidi ya wagombea wenzake wanane katika kinyang'anyiro hicho, kwa mujibu wa mkurugenzi wa uchaguzi huo, Lightness Mweteni. Ole Medeye alipata kura 7,481, Loy Thomas Ole Sabaya (6,715) na aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo Elisa David Mollel alimbulia kura 2,603.

JUMLA: Atleast 16, 799

Jimbo la Arumeru Mashariki mtetezi wa nafasi hiyo, Jeremiah Sumari ndiye anayeongoza kwa kura 11,377, akifuatiwa na Wiliam Sarakikya (1,371), Elirehema Kaaya (1,349) na Anthony Amos (1,026).

JUMLA: 15,123

Manyara Mbunge anayemaliza muda wake jimboni Mbulu Philip Marmo ameibuka mshindi baada ya kupata kura 20,927 na akimbwaga katibu tawala wa Wilaya ya Simanjiro, Michael Lowry (15,446).

JUMLA: 36,373

Jimbo la Hanang Dk Mary Nagu ameshinda kwa kishindo kwa kupata kura 19,700 dhidi ya Rose Kamili mke wa Dk Wilbroad Slaa aliyepata kura 5,430.

JUMLA: 25,130

Jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka amepata ridhaa ya wanachama kugombea tena ubunge wa Simanjiro baada ya kuzoa kura 18,070 wakati James Ole Millya aliambulia kura 4,907, kwa mujibu wa katibu wa CCM mkoani Manyara, Avelin Mushi.

JUMLA: Atleast 22,977

Tanga Jimbo la Handeni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (Taifa), Dk Abdallah Kigoda ameibuka kidedea baada ya kupata jumla ya kura 11,227, wakati Mohamed Mhita akishika nafasi ya pili kwa kuambulia kura 4,318, kwa mujibu wa mkurugenzi wa uchaguzi huo, David Mkude.

JUMLA: Atleast 15,545

Jimbo la Mkinga Dunstan Kitandula aliibuka mshindi kwa kupata kura 10,867 na kumbwaga Naibu Wazir wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mwantumu Mahiza (9,114).

JUMLA: Atleast 19,981
Source: Vigogo wengi CCM watoswa ubunge
 
.

Mbona uko kyela mko wengi sana, sasa kwani msigawe jimbo?.
Let say wana ccm mliopiga kura ni 20,000 na kata ziko 23.

Mwakyembe kwa sababu ni mkubwa,anachukua kata 13 na wanachama wake 11,000 na Mwakalinga kwasababu ni mdogo,yeye anabakiwa na wanachama 9,000 na kata zake 10.Hapo mtakuwa ummepunguza ugomvi huu.Sidhani kama kundi la mwakalinga, litaendelea kuliheshimu kundi la mwakyembe kwa jinsi ninavyoona hapa.

Kama wasomi kama nyie baado mnamshambulia mwakalinga kwa kushindwa kwake,je yule ambaye hakwenda darasani?

Mnafikiri haya makundi yenu mtayamaliza kweli?

Mkuu!! Mwakalinga hajashinda ata kata moja, sasa kuwalazimisha wananchi wa kata hizo wawakilishwe na Mwakalinga bila ridhaa yao hauoni kuwa kunaweza kusababisha uvunjikaji wa amani kyela?hakuna kata iliyomhitaji Mwakalinga, na zote zinamtaka Mwakyembe
 
Mkuu!!katika uchaguzi wa 2005, wananchi 63, 939 walipiga kura katika Jimbo la Kyela, hivyo kuwepo na wanachama wa CCM 17,000 it's not a big deal ukizingatia kuwa maeneo ya vijijini asilimia kubwa ya wananchi ni wanachama wa CCM.

Na hii sio Kyela tu, majimbo mengi ya Vijijini yana wapiga kura zaidi ya hao wa Kyela, ila Kyela imetokea tu kuwa Mgombea aliyepigiwa kura kwa wingi ni mmoja tu.

Check majimbo haya...

Katika jimbo la Arumeru Magharibi, Goodluck Joseph ole Medeye aliibuka mshindi dhidi ya wagombea wenzake wanane katika kinyang'anyiro hicho, kwa mujibu wa mkurugenzi wa uchaguzi huo, Lightness Mweteni. Ole Medeye alipata kura 7,481, Loy Thomas Ole Sabaya (6,715) na aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo Elisa David Mollel alimbulia kura 2,603.

JUMLA: Atleast 16, 799

Jimbo la Arumeru Mashariki mtetezi wa nafasi hiyo, Jeremiah Sumari ndiye anayeongoza kwa kura 11,377, akifuatiwa na Wiliam Sarakikya (1,371), Elirehema Kaaya (1,349) na Anthony Amos (1,026).

JUMLA: 15,123

Manyara Mbunge anayemaliza muda wake jimboni Mbulu Philip Marmo ameibuka mshindi baada ya kupata kura 20,927 na akimbwaga katibu tawala wa Wilaya ya Simanjiro, Michael Lowry (15,446).

JUMLA: 36,373

Jimbo la Hanang Dk Mary Nagu ameshinda kwa kishindo kwa kupata kura 19,700 dhidi ya Rose Kamili mke wa Dk Wilbroad Slaa aliyepata kura 5,430.

JUMLA: 25,130

Jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka amepata ridhaa ya wanachama kugombea tena ubunge wa Simanjiro baada ya kuzoa kura 18,070 wakati James Ole Millya aliambulia kura 4,907, kwa mujibu wa katibu wa CCM mkoani Manyara, Avelin Mushi.

JUMLA: Atleast 22,977

Tanga Jimbo la Handeni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (Taifa), Dk Abdallah Kigoda ameibuka kidedea baada ya kupata jumla ya kura 11,227, wakati Mohamed Mhita akishika nafasi ya pili kwa kuambulia kura 4,318, kwa mujibu wa mkurugenzi wa uchaguzi huo, David Mkude.

JUMLA: Atleast 15,545

Jimbo la Mkinga Dunstan Kitandula aliibuka mshindi kwa kupata kura 10,867 na kumbwaga Naibu Wazir wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mwantumu Mahiza (9,114).

JUMLA: Atleast 19,981
Source: Vigogo wengi CCM watoswa ubunge

Luveshi,

Hao timu Mwakalinga wana obsession na udaku, umbeya, uongo, urongo, bangi, bange, uzushi, uzukushi, uongori, nk

Hawana muda wa kusema ukweli hapa.

Asante sana kwa hiyo dozi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom