hakuna kulipaaaaaaaaaaaa, stop, la sivyo ya EGYPT soon yatatokea, trust me, hii ni kampuni hewa, halafu ww mtoa mada, weare are u from?
how can u legalize a fake & corrupt company, not existing to be paid? who gave you mandate to favor Dowans payment? ICC is a fisadi's associate, na it can't...
SAFIIIIIIII kanyaga twende Dr. Slaa, hawa CUF wanakula na mkono wa kulia halafu
wanasema mkono wa kushoto hauna kitu, wapo serikalini, mguu mmoja nje mwingine
ndani, kinyonga style, kama fisi mtaka vyote atakosa vyote, hawaeleweki, unpredictable
ni wapinzani au wana CCM au neutral...
nasema ni tatizo kwsbb hata baada ya ku do, lazima still inatakiwa umjue vizuri partner wako, usibweteke umepata, kumbe
umepatikana, ndio unashtukia mimba tayari hata mpenzi wako humjui vizuri inside out mwishoe kakautoroka au kakataa mimba, imagine au
anasema sikupanga kukuoa ila nipo tayari...
kweli bana, unaona aaheri ubakie huko huko, ila hata ukimwambia partner mmoja mwezi wako yuko hivi, au ni kiwembe atakuktalia
kabisa, utasikia siamini, ni Tabutupu ninaye mjua? nasema siamini hadi nimuone, kumbe hajakujua, anafikiri kakujua baada ya ku do
i agree with u Kiranga, either way/ vice versa also is true, ila most of time uatshangaa
baada ya tendo la ndoa mwanamke/mwanaume anachukulia anamjua saaaana
mwenza wake for almost kila kitu, tena wamedo once, ndio ticket utafikiri, ili hali si kweli
mm nashauri msomane still, watch ur partner...
utakuta mwanume na mwanamke wanajuana miaka mingi, ila hawako karibu sana
tena, wanaheshimiana miaka yote, ila siku wakila TUNDA au wakifanya tendo la
ndoa wanakuwa karibuuu, tena wanakuwa HURUU, kila mmoja utasikia huyu mtu
wangu/ wa ubani/ mwenye mali/baba watoto au, au....... hivi TENDO la...
nimecheka duuuh, demu la mbegu au dume la mbegu...!!! Finest bwana, i know u wrote it intentionally, didn't u...? e in place of u, au siku hizi kuna demu wa mbegu...? kaaahh
Moto wa CDM no one can stop, kumbuka ni wasomi most of them, including me, Dr. Slaa lead us, tupo pamoja, tunafurahi jana
ulivyo ongelea maswala ya Taifa kwa uchungu na ukweli uleule uliokuwa nao, leo pia upo online hii inatupa upendo wa ajabu sana, saaaana
na leo tena Mbowe kawasha moto...
Dr. Slaa is genius, CCM wote hata hawamfikii, kashajua JK kilaza long time, pia alisema
wanafunzi wa vyuo vikuu eti wanaambiwa wasijiingize kwenye siasa kwanini basi
political science inafundishwa chuoni? kasema huu ndio upuuzi wa viongozi wapotoshaji
jamaa noma
Hadi leo unakutana na mwanaume anaona AIBU anapokutana na DEMU au mwanamke
yaani mara anaangalia chini, kushika kichwa, mara ageuke nyuma.....aarrrrrrgghh
mm kama mwanaume kama nimemwoana mwanamke kapendeza au nataka kumtokea
mara moja namsogelea nipo sooooo smart kwa kila kitu, namwongelesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.